KAMATI YA SHERIA YAPITISHA USAJILI WA WACHEZAJI
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji imepitisha usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza huku wenye kasoro ndogondogo klabu zao zikitakiwa kuziondoa ili waweze kupatia leseni za kucheza ligi msimu huu wa 2014/2015.
Kasoro hizo ni kufikia makubaliano na klabu ambazo wachezaji husika wametoka, kuwafanyia uhamisho (transfer) na kulipa ada za uhamisho. Kamati vilevile ilibaini wachezaji wengi hawakufanyiwa uhamisho kama kanuni za ligi hizo zinavyoelekeza.
Hivyo, klabu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …
Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]
The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...
11 years ago
Habarileo08 May
Kamati yapitisha bajeti ya Ujenzi
KAMATI ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka ujao wa fedha 2014/2015, ya Sh trilioni 1.2, fedha zilizoelekezwa katika matumizi ya kawaida na ya maendeleo katika wizara hiyo.
10 years ago
BBCSwahili25 Feb
UK yapitisha Sheria ya mtoto wa wazazi 3
9 years ago
GPLKAMATI KUU CCM YAPITISHA MAJINA 3 YA USPIKA
11 years ago
MichuziKAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI
9 years ago
StarTV16 Nov
Kamati kuu CCM yapitisha majina matatu kati ya 21
Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM imepitisha majina matatu kati ya 21 ya wagombea waliojitokeza kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea kiti cha Spika katika Bunge la 11.
Kikao hicho cha kamati kuu kimeongozwa na mwenyekiti wa chama hicho taifa Dokta Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma.
katika uwanja wa ndege wa Dodoma mwenyekiti Taifa wa chama cha mapinduzi CCM ambaye ni rais mstafuu Dk. Jakaya mrisho Kikwete akiwasili na kulakiwa na baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho...
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
England yakufuru usajili wa wachezaji
10 years ago
Mwananchi30 May
Matapeli wavamia usajili wa wachezaji