Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati za Bunge zalia na muda

ASILIMIA kubwa ya Kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zimedai muda uliotolewa kujadili sura mbili hautoshi, hivyo zinatarajia kuomba kuongezewa, zikamilishe. Kamati hizo 12 zilianza tangu juzi kujadili Sura ya Kwanza na ya Sita za rasimu hiyo na zilitakiwa kukamilisha kazi hiyo kabla ya leo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kamati #Bunge la #Katiba zaongezewa muda, wajumbe waonesha wasiwasi [VIDEO]

MWENYEKITI wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho amesogeza mbele kuanza rasmi kwa vikao vya bunge hilo baada ya Kamati ya Kanuni kuomba kuongezewa muda zaidi kukamilisha kazi iliyopewa.

 

11 years ago

Mwananchi

Asasi zalia na ulinzi mkali #Bunge la #Katiba, zahofu raia wataminywa [VIDEO]

Utaratibu wa kuendesha Bunge la Katiba utaminya uhuru wa mawazo, na huenda ukakwaza kwa kiwango kikubwa mchakato wa kupitia rasimu ya pili ya Katiba unaoendelea mjini hapa hivi sasa.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA PAC YAPATA UGENI KUTOKA BUNGE LA SUDANI KUSINI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) akifafanua jambo wakati kamati yake ilipokutana na Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani Kusini katika Ofisi Ndogo za Bunge leo. Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani lipo nchini kwa ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu na wenyeji wao. Kushoto kwa Mhe. Zitto ni Mwenyekiti wa Kamati ya PAC ya Bunge la Sudani Kusini Bi. Mary Bicensio Wani. Wajumbe wa Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani wakishiriki kikao hicho na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKINDA AONGOZA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE, KIKAO CHA BUNGE KUANZA JANUARI 27

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa Zitto Kabwe akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi wakati kamati hiyo ilipokaa kuapanga ratiba ya Mkutano wa Bunge kwenye ofisindogo za bunge jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Januari 22, 2015. Kikao cha bunge kinatarajiwa kuanza Januari 27, 2015Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kamati Uongozi leoMwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Rajabu Mbarouk akieleza jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Bajeti yahofia muda wa uchambuzi

 Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza wasiwasi iwapo itapata muda wa kutosha wa kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali ya 2014/15 kabla ya kuanza vikao vyake mapema mwezi ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani