Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asasi zalia na ulinzi mkali #Bunge la #Katiba, zahofu raia wataminywa [VIDEO]

Utaratibu wa kuendesha Bunge la Katiba utaminya uhuru wa mawazo, na huenda ukakwaza kwa kiwango kikubwa mchakato wa kupitia rasimu ya pili ya Katiba unaoendelea mjini hapa hivi sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]

Kutokana na uzito wa mjadala huo wa kura, mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho, alilazimika kusogeza mbele muda wa kumaliza kikao hicho hadi saa tatu usiku.

 

11 years ago

Habarileo

Kamati za Bunge zalia na muda

ASILIMIA kubwa ya Kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zimedai muda uliotolewa kujadili sura mbili hautoshi, hivyo zinatarajia kuomba kuongezewa, zikamilishe. Kamati hizo 12 zilianza tangu juzi kujadili Sura ya Kwanza na ya Sita za rasimu hiyo na zilitakiwa kukamilisha kazi hiyo kabla ya leo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ulinzi mkali bungeni

JESHI la Polisi mkoani Dodoma limeendelea kuimarisha ulinzi eneo la kuzunguka jengo la Bunge, licha ya azimio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutotekelezwa juzi. Kama ilivyokuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MJADALA WA KATIBA MPYA: Asasi za kiraia kuelimisha jamii kwa kugawa CD, flash za Katiba

BAADA ya Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar na hatimaye Tanzania iliyotokana na muungano wa nchi hizo mwaka 1964, wananchi hawakuwahi kupewa fursa ya kushiriki katika utungaji wa Katiba ya nchi....

 

10 years ago

Mtanzania

Ulinzi mkali kesi ya Sheikh Farid

Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed

Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed

NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

ULINZI mkali wa polisi na mbwa umetawala Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana, wakati kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake ilipokuwa ikitajwa.

Askari wenye sare na wale waliovaa kiraia walitanda kila kona ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuhakikisha usalama unakuwapo.

Ndugu wa...

 

11 years ago

GPL

Tambwe chini ya ulinzi mkali Simba

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Simba umetangaza kumwekea ulinzi mkali mshambuliaji wake, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, ikiwa ni siku moja baada ya kuwepo kwa taarifa za mchezaji huyo kuwaniwa na timu nyingine, ikiwemo yeye mwenyewe kutoa kauli ya kuwakaribisha Yanga kwa mazungumzo ya usajili kama wanamhitaji. Tambwe ambaye anaongoza kwa mabao...

 

11 years ago

GPL

Messi chini ya ulinzi mkali jijini Mbeya

Ramadhani Singano ‘Messi’. Sweetbert Lukonge, Dar na Sophia Mwaipyana, Mbeya
BENCHI la ufundi la Mbeya City limesema kuwa limejipanga vilivyo kuhakikisha kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ hafurukuti katika mechi ya kesho ya Ligi Kuu Bara itakayozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kwa kumwekea ulinzi wa kutosha. Kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mwambusi...

 

11 years ago

Habarileo

Ulinzi mkali kumuaga Nelson Mandela leo

Msemaji wa Polisi Afrika Kusini, Luteni Jenerali Solomon MakgaleLEO ni siku ya kitaifa ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

10 years ago

Mwananchi

Ulinzi mkali mdahalo wa Jaji Warioba leo

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amesema ulinzi utaimarishwa kabla, wakati na baada ya mdahalo maalumu wa Katiba ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam mzungumzaji mkuu akiwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani