Kambi ya baiskeli Madola yaiva
KAMBI ya timu ya taifa ya mchezo wa baiskeli kwa ajili ya mashindano ya Jumuiya ya Madola, inatarajiwa kuanza wiki ijayo wilayani Karatu, mkoani Arusha. Awali kambi ya timu hiyo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Hukumu ya Okwi yaiva
10 years ago
Habarileo05 Jul
Ilani ya Uchaguzi ya CCM yaiva
KIKAO Maalumu cha Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza jana Mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Jakaya Kikwete, kwa ajili ya kupitisha Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015.
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/1-Askari-wa-kikosi-cha-bendeara-kutoka-JWTZ-wakiwa-kwenye-mazoezi-kama-inavyoonekana-pichani..jpg)
MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA YAIVA
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Vita ya Mbatia, Mrema yaiva
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Tafiti sera ya filamu yaiva
10 years ago
Mwananchi30 May
Hukumu ya kina Mramba yaiva
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Kampeni kupinga ukatili wa kijinsia yaiva
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Safari ya Miss Tanzania China yaiva
NA MWANDISHI WETU
SAFARI ya Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima, anayetarajiwa kuagwa leo ipo tayari kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya Dunia (Miss World) ambayo fainali zake zitafanyika ukumbi wa Beauty Crown Grand Theatre, nchini China.
Shindano hilo la dunia linatarajiwa kufanyika Desemba 19, mwaka huu, likijumuisha washiriki kutoka nchi zaidi ya 120 wakiwania taji linaloshikiliwa na Rolene Strauss kutoka nchini Afrika Kusini, aliyeibuka kidedea mwaka jana jijini London,...