Tafiti sera ya filamu yaiva
>Shirikisho la Filamu Tanzania TAFF, pamoja na vyama vingine vinane vinavyounda umoja huo jana wamewasilisha utafiti wa sera ya filamu nchini kwa Wizara ya Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Harakati za TAFF kuhusu Sera za Filamu na Miliki Bunifu
9 years ago
Bongo523 Nov
TAFF yaeleza walipoishia katika kuandaa sera mpya ya filamu na miliki bunifu
![Raisi wa shirikisho la filamu Mwakifamba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/06/Raisi-wa-shirikisho-la-filamu-Mwakifamba-200x133.jpg)
Rais wa shirikisho la filamu nchi Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba ameeleza walipoishia katika juhudi za kuandaa sera mpya ya filamu pamoja na miliki bunifu.
Amesema hayo baada ya baadhi ya wadau ndani ya tasnia ya filamu kudai shirikisho hilo halijafanya chochote kwa ajili ya maendeleo ya tasnia ya filamu.
Kupitia ukurasa wake wa facebook, Mwakifanya aliandika: TAFF pamoja na vyama vyake wamefanya jitihada kubwa sana ambazo serikali ingezitekeleza nasema tungekuwa na mfumo nzuri sana wa...
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Hukumu ya Okwi yaiva
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Vita ya Mbatia, Mrema yaiva