TAFF yaeleza walipoishia katika kuandaa sera mpya ya filamu na miliki bunifu
Rais wa shirikisho la filamu nchi Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba ameeleza walipoishia katika juhudi za kuandaa sera mpya ya filamu pamoja na miliki bunifu.
Amesema hayo baada ya baadhi ya wadau ndani ya tasnia ya filamu kudai shirikisho hilo halijafanya chochote kwa ajili ya maendeleo ya tasnia ya filamu.
Kupitia ukurasa wake wa facebook, Mwakifanya aliandika: TAFF pamoja na vyama vyake wamefanya jitihada kubwa sana ambazo serikali ingezitekeleza nasema tungekuwa na mfumo nzuri sana wa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Harakati za TAFF kuhusu Sera za Filamu na Miliki Bunifu
9 years ago
Bongo Movies16 Dec
TAMKO LA WASANII WAKONGWE KWA RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF) SIMON MWAKIFWAMBA
TAMKO LA WASANII WAKONGWE KWA RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF) SIMON MWAKIFWAMBA
WASANII Wakongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood leo tarehe 16Th December, 2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari ya Maelezo wametoa tamko lao kuhusu kumtaka Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba kugombea nafasi hiyo ambayo alitangaza kutoshiriki kugombea nafasi hiyo kwa kipindi kijacho uchaguzi huo mwezi huu 2015.
Baada ya salamu hizo kwenu tumekuja hapa kwa tukiwa na ya...
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Serikali yatakiwa kuandaa sera za uzalishaji wa rangi
SERIKALI imetakiwa kuandaa miongozo ya kisera na kisheria kwa wazalishaji wa rangi ili wasiendelee uzalishaji wa kutumia risasi. Akizungumza jijini Dar es Saalm juzi katika maadhimisho ya wiki ya kimataifa...
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
Rihanna akubali kuigiza katika filamu mpya
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Tafiti sera ya filamu yaiva
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu
Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;
"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...
10 years ago
Bongo526 Feb
Filamu mpya ya JB ‘Mzee wa Swagga’ ni kopi 100% ya filamu ya kihindi
10 years ago
Bongo502 Mar
Ni kweli nimekopi filamu ya kihindi — mwandishi wa filamu mpya ya JB