Harakati za TAFF kuhusu Sera za Filamu na Miliki Bunifu
>Japo sekta ya filamu nchini ni sekta tajiri sana, lakini imekuwa haipewi kipaumbele na Serikali ingawa haiepukiki kuwa Tanzania ni moja ya nchi chache sana zenye maeneo mazuri ya kuvutia yanayofaa kabisa kwa kutengenezea filamu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Nov
TAFF yaeleza walipoishia katika kuandaa sera mpya ya filamu na miliki bunifu
![Raisi wa shirikisho la filamu Mwakifamba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/06/Raisi-wa-shirikisho-la-filamu-Mwakifamba-200x133.jpg)
Rais wa shirikisho la filamu nchi Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba ameeleza walipoishia katika juhudi za kuandaa sera mpya ya filamu pamoja na miliki bunifu.
Amesema hayo baada ya baadhi ya wadau ndani ya tasnia ya filamu kudai shirikisho hilo halijafanya chochote kwa ajili ya maendeleo ya tasnia ya filamu.
Kupitia ukurasa wake wa facebook, Mwakifanya aliandika: TAFF pamoja na vyama vyake wamefanya jitihada kubwa sana ambazo serikali ingezitekeleza nasema tungekuwa na mfumo nzuri sana wa...
9 years ago
Bongo Movies16 Dec
TAMKO LA WASANII WAKONGWE KWA RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF) SIMON MWAKIFWAMBA
TAMKO LA WASANII WAKONGWE KWA RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU TANZANIA (TAFF) SIMON MWAKIFWAMBA
WASANII Wakongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood leo tarehe 16Th December, 2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari ya Maelezo wametoa tamko lao kuhusu kumtaka Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba kugombea nafasi hiyo ambayo alitangaza kutoshiriki kugombea nafasi hiyo kwa kipindi kijacho uchaguzi huo mwezi huu 2015.
Baada ya salamu hizo kwenu tumekuja hapa kwa tukiwa na ya...
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Tafiti sera ya filamu yaiva
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
‘Sera kuhusu walemavu zipo, hazitekelezwi’
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi yaUtafiti kuhusu Kupunguza Umaskini nchini (Repoa), Prof. Samwel Wangwe amesema sera zinazohusu watu wenye ulemavu zipo lakini hazitekelezwi. Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada...
11 years ago
Dewji Blog18 Jul
Hizi ndizo Sera za Bwana Liberatus Mwangombe kuhusu Darasa la Kiswahili
![Untitled 2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/Untitled-21.jpg)
Wanasema kwamba eti Tamko juu ya tuhuma za mgombea wakiti cha urais Bwana Liberatus Mwangombe kuhusu darasa la kiswahili. SWALI: Jee hizi ndio tuhuma za kulishutumu Darasa la kiswahili aliozotuhumu darasa hilo……?
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IlzQiVwnqx0/VACEZvdghSI/AAAAAAAGT5Y/0QarrlfcWmo/s72-c/unnamed%2B(66).jpg)
kongamano la kupata maoni ya wadau kuhusu rasimu ya sera ya Petroli lafunguliwa leo jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-IlzQiVwnqx0/VACEZvdghSI/AAAAAAAGT5Y/0QarrlfcWmo/s1600/unnamed%2B(66).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-cpxI0EdzyO8/VACEZC56yGI/AAAAAAAGT5U/UJOVqJPwSEU/s1600/unnamed%2B(67).jpg)
10 years ago
Bongo Movies19 Apr
Mtunis Atoboa Haya Kuhusu Tasnia ya Filamu
Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘mtunis’ amesema kuwa tasnia ya uigizaji inahitaji umakini zaidi ili kujikosoa penye makosa. Alisema licha ya kwamba filamu zinadaiwa hazilipi hiyo siyo sababu yakutayarisha zisizokuwa na ubora.
Alifafanua hata wakongwe wanapoibua chipukizi wanapaswa kuzingatia wenye vipaji zaidi ili tasnia huyo iendelee kufanya vizuri .
Alieleza kuwa hakuna kitu kibaya kama mtu anayekuamini akikudharau harudi nyuma, hivyo kwa kuwa makini kutayarisha filamu bora na...
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Ray Atoboa ya Moyoni Kuhusu Filamu ya OPRAH
“Ni kati ya movie ninazozipenda sana . pia naweza thubutu kusema ni movie iliyofanya mabadiliko makubwa sana kwenye film industry nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yetu. pia ndiyo movie iliyomtangaza Irene Uwoya kwenye ulimwengu wa filamu. kwa hiyo nina kila sababu ya kuipenda movie hii. OPRAH HOT SUNDAY”. Ray ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya kasha la filamu hiyo.
Wewe kama mdau unamaoni gani juu ya kazi hii ya OPRAH iliyotoboa mipaka ya nchi?...