Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni ya amani Chuo kikuu cha Garissa

Wanaharakati nchini Kenya leo wanaanza kampeni ya siku nne katika Chuo Kikuu cha Garissa, lengo moja wapo kutaka kifunguliwe.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Chuo kikuu cha Garissa chafunguliwa tena

Chuo kikuu cha Garissa kilichofungwa mwaka uliopita baada ya watu 148 kuuawa kwenye shambulio lililotekelezwa na wanamgambo wa al-Shabab, kimefunguliwa tena.

 

10 years ago

Vijimambo

Al-Shabab washambulia chuo kikuu cha Garissa Kenya

Washambulizi wa Al-Shabab wameshambulia chuo kikuu cha Garissa, kaskazini mashariki ya Kenya na kusababisha vifo vya takriban watu 70 kulingana namaafisa wa serikali na zaidi ya 70 kujeruhiwa.Kifaru cha jeshi la Kenya kikiwasili karibu na chuo kikuu cha Garissa,Garissa, Kenya, April 2, 2015.Polisi wa Kenya wakikaribia majengo ya chuo cha Garissa kwa uangalifu mkubwaWananchi wa Garissa wakisubiri kuchangia damu katika hospitali ya Garissa ambako wengi waliojeruhiwa wamelazwaKifaru cha jeshi...

 

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Chuo cha Garissa kufunguliwa tena

Chuo kikuu cha Garissa, mashariki mwa Kenya, kilichofungwa mwaka uliopita baada ya watu 148 kuuawa na wanamgambo wa al-Shabab, kitafunguliwa tena kesho.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uamuzi wa Serikali wa kukopa fedha ili kuboresha miundombinu kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ulichukuliwa kwa lengo la kujibu tatizo la sasa la wingi wa vijana wanaohitimu kidato cha sita.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 10 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA) LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)  akitoa  hutuba yake katika mahfali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Hamad Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya...

 

10 years ago

Vijimambo

Chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku wa Ijumaa, Machi 12, 2015. Katika uchangiaji huo, Rais Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani