Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni ya Polisi, Voda kwa madereva yatua Arusha

KAMPENI ya kuwataka madereva nchini, kuzingatia sheria za usalama barabarani inayoendeshwa na Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, iliyozinduliwa wiki iliyopita na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe, imeingia mkoani Arusha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LATOA ONYO KWA WAVURUGA AMANI PAMOJA NA MADEREVA WALEVI NA WASIOZINGATIA SHERIA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa watu wachache wanaopenda kuvuruga amani katika kipindi cha sikukuu na kuwataka waache mara moja kuwa na fikra hizo kwani watachukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shana amesema kuwa kwa upande wa madereva wa vyombo vya usafiri ni marufuku kuendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa ,mwendokasi pamoja na kujaza abiria kupita kiasi kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yaoAidha...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI

JESHI la Polisi mkoani Arusha, litaanza ujenzi wa kituo kidogo cha polisi katika kata ya Kisongo wilayani Arumeru mkoani hapa baada ya jitihada za Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuwapa eneo la ujenzi huo ili kuondoa kero kwa wananchi.

Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.

Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...

 

10 years ago

Habarileo

Voda yaanzisha huduma mpya ya lipa kwa M-Pesa

KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua huduma mpya ya M-Pesa ijulikanayo kama 'LIPA KWA M-PESA' ambayo ni jumuishi ya mfumo wa malipo utakaowezesha makampuni, mawakala wa jumla na rejareja na wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia huduma ya M-Pesa.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YATUA WILAYA YA KIBONDO

Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kumwamba iliyopo Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma walijumwika na wakazi wa wilaya hiyo katika viwanja vya Community Centre wakimsiliza Meneja Biashara wa Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon wakati alipokuwa akiwafafanulia jambo kuhusiana na maradhi ya Fistula. Wakati wa kampeni ya kutokomeza maradhi hayo inayoendelea kufanyika katika mikoa mitatu nchini,Kampeni hiyo inaendeshwa na Hospitali ya CCRBT kwa kushirikiana na Vodacom Foundation....

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YATUA WILAYANI UVINZA

 Umati wa wakazi wa kata ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Kigoma wakiwa kwenye mkutano wa  kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya  Fistula yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation  inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wakina baba kuwaruhusu wakina mama wajitokeze  ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa ni  wastani ya wanawake 3,000...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi Usalama Barabarani watoa taarifa ya kusitisha suala la kusoma kwa madereva nchini

Mpinga

Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, DCP  Mohammed R. Mpinga – DCP (kulia) akitoa maelezo ya kiutalaamu juu ya suala la kusoma kwa madereva ambalo kwa sasa suala hilo limesitishwa hadi hapo litakapokamilika kwa mchakato wake. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa madereva nchini, Clement Masanja.  Taarifa hiyo aliitoa leo jijini katika ukumbi wa habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam. (Picha na Andrew Chale wa Modewji blog).

TAARIFA KWA UMMA

 Hivi karibuni nchi yetu...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA ZUIA AJALI SASA,TOA TAARIFA MAPEMA YATUA JIJINI MWANZA

  Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(Hawapo pichani)wakati wa kuendeleza kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema” kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa nibure kwa wateja wa Vodacom.Kampeni hiyo inayoendeshwa na jeshi la polisi  kikosi cha Usalama barabarani,Vodacom Tanzania na vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika  katika stendi ya mabasi ya Nyegezi...

 

10 years ago

GPL

KAMPENI YA ZUIA AJALI SASA,TOA TAARIFA MAPEMA YATUA JIJINI MWANZA‏

Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuendeleza kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama “Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema” kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom. Kampeni hiyo inayoendeshwa na Jeshi la Polisi  kikosi cha Usalama Barabarani, Mtandao Tanzania na...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAANZA KUTOA ELIMU KWA ABIRIA NA MADEREVA ILI KUKABILIANA NA AJALI KATIKA KIPINDI CHA MWISHO WA MWAKA

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Inspekta Ibrahim Omary Samwi(kushoto), na PC Elisante Bura(kulia), wakikagua moja ya magari yanayofanya safari zake mikoani, kutekeleza mkakati wa Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka.Zoezi hili limefanyika muda mfupi kabla ya magari kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali ya Tanzania.Askari wa Kikosi cha Usalama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani