Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni za uchaguzi Arusha TZ

Maandalizi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania yamekamilika huku kampeni za vyama na wagombea wao zikipamba moto kwenye maeneo mbalimbali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kampeni za uchaguzi Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania imeanza kazi ya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura.

 

9 years ago

StarTV

CHADEMA chazindua kampeni Arusha Mjini

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimezindua kampeni za ubunge katika jimbo la Arusha Mjini ambazo zilisitishwa baada ya kufariki kwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia chama cha ACT Wazalendo.

Mgombea Ubunge wa CHADEMA Godbles Lema amewataka wananchi kujitokeza kushiriki mchakato huo ili kupata kiongozi atakayewaletea maendeleo jimboni hapo.

Akizungumza na wananchi waliojitokeza kusikiliza sera za chama Cha Demokrasia na mendeleo mgombea anaetetea kiti chake Godbles Lema amesema bado...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampeni uchaguzi Simba zaanza

KAMATI ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, jana imetangaza orodha ya mwisho ya majina ya wagombea ambao wameruhusiwa kuanza kampeni za kunadi sera zao kwa wanachama kuelekea uchaguzi mkuu wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mary Nagu azinduzi kampeni za CCM Arusha

SAM_5821

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akimnadi mgombea Ubunge pamoja na madiwani katika uzinduzi wa kampeni jimbo la Arusha mjini tarehe 5/9/2015 katika uwanja wa soko kuu jijini Arusha.(Picha zote na Pamela Mollel wa jamiiblog Arusha).

SAM_5835 Umati wa watu uliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CCM jimbo la Arusha mjini katika eneo la soko kuu jijini Arusha, ambapo rasmi walizindua kampeni za ubunge na udiwani SAM_5823

Mbunge jimbo la Arusha mjini kupitia Chama cha...

 

9 years ago

Michuzi

MARY NAGU UZINDUA KAMPENI ZA CCM ARUSHA



SAM_5821Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akimnadi mgombea Ubunge pamoja na madiwa katika uzinduzi wa kampeni jimbo la Arusha mjini tarehe 5/9/2015 katika uwanja wa soko kuu jijini Arusha(Picha zote na Pamela Mollel wa jamiiblog Arusha)SAM_5835Umati wa watu uliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni za ccm jimbo la Arusha mjini katika ene la soko kuu jijini Arusha,ambapo rasmi walizindua kampeni za ubunge na udiwaniSAM_5823Mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia chama...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mary Nagu uzinduzi kampeni za CCM Arusha

SAM_5821

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akimnadi mgombea Ubunge pamoja na madiwa katika uzinduzi wa kampeni jimbo la Arusha mjini tarehe 5/9/2015 katika uwanja wa soko kuu jijini Arusha.(Picha zote na Pamela Mollel wa jamiiblog Arusha).

SAM_5835 Umati wa watu uliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CCM jimbo la Arusha mjini katika eneo la soko kuu jijini Arusha, ambapo rasmi walizindua kampeni za ubunge na udiwani SAM_5823

Mbunge jimbo la Arusha mjini kupitia Chama cha...

 

9 years ago

Mwananchi

Staili ya Magufuli kampeni za Uchaguzi Mkuu

Juni 4, Dk John Magufuli alijitokeza ofisi za Makao Makuu ya CCM, Dodoma, saa 11.30 jioni na kuchukua fomu za kuwania urais, akiwa amevalia sare za chama chake, suruali nyeusi na shati la kijani, akisindikizwa na mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshama na wapambe wengine wawili.

 

9 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani