Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni za uchaguzi Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania imeanza kazi ya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kampeni za Uchaguzi mkuu zaanza Tanzania

Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania zimeanza rasmi juzi. Oktoba 25 wananchi watapiga kura kuchagua madiwani, wabunge na Rais

 

5 years ago

CCM Blog

TUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS TANZANIA 2015: DK MAGUFULI AVUNJA REKODI YA UKAWA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI MBEYA


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya, AGOSTI 28,2015. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOGMgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi baada ya kumaliza kujinadi  katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kampeni za uchaguzi Arusha TZ

Maandalizi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania yamekamilika huku kampeni za vyama na wagombea wao zikipamba moto kwenye maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampeni uchaguzi Simba zaanza

KAMATI ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, jana imetangaza orodha ya mwisho ya majina ya wagombea ambao wameruhusiwa kuanza kampeni za kunadi sera zao kwa wanachama kuelekea uchaguzi mkuu wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Staili ya Magufuli kampeni za Uchaguzi Mkuu

Juni 4, Dk John Magufuli alijitokeza ofisi za Makao Makuu ya CCM, Dodoma, saa 11.30 jioni na kuchukua fomu za kuwania urais, akiwa amevalia sare za chama chake, suruali nyeusi na shati la kijani, akisindikizwa na mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshama na wapambe wengine wawili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kampeni za uchaguzi zapamba moto Zambia

Kampeni za uchaguzi nchini Zambia zapamba moto .

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KAMPENI ZA UCHAGUZI JIMBO LA MKANYAGENI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Black wizard Chokocho jimbo la uchaguzi la Mkoani Wilaya ya Mkoani Pemba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein akiwatambulisha wagombea Udiwani wa...

 

9 years ago

GPL

MCHAMBUZI AZUNGUMZIA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

Mchambuzi wa Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Richard Mbunda, akizungumza jambo kwenye hafla hiyo. Baadhi ya wanahabari na wanaharakati wakiwa katika hafla hiyo. Miongoni wa waliohudhuria hafla hiyo akinyosha mkono kutaka kuchangia mada mbalimbali…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani