Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHAMBUZI AZUNGUMZIA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

Mchambuzi wa Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Richard Mbunda, akizungumza jambo kwenye hafla hiyo. Baadhi ya wanahabari na wanaharakati wakiwa katika hafla hiyo. Miongoni wa waliohudhuria hafla hiyo akinyosha mkono kutaka kuchangia mada mbalimbali…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAILIMA AZUNGUMZIA SABABU ZA KUFANYIKA UCHAGUZI MKUU WA VIONGOZI WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA ( CCWT)

  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akizungumza kuhusu sababu za kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa  Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT). Kailima, amezungumza leo  katika Mkutano  na waandishi wa habari uliofanyika, jijini Dodoma.  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (kushoto) akizungumza kuhusu sababu za kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa  Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) kutokana na malalamiko...

 

10 years ago

Mwananchi

Staili ya Magufuli kampeni za Uchaguzi Mkuu

Juni 4, Dk John Magufuli alijitokeza ofisi za Makao Makuu ya CCM, Dodoma, saa 11.30 jioni na kuchukua fomu za kuwania urais, akiwa amevalia sare za chama chake, suruali nyeusi na shati la kijani, akisindikizwa na mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshama na wapambe wengine wawili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kampeni za Uchaguzi mkuu zaanza Tanzania

Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania zimeanza rasmi juzi. Oktoba 25 wananchi watapiga kura kuchagua madiwani, wabunge na Rais

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Live. Mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu — C.U.F — Kipangani Ole Pemba.

muumbela is on Mixlr Bofya hapa kucheza moja kwa moja

The post Live. Mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu – C.U.F – Kipangani Ole Pemba. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Bongo5

Kampeni zinafikia tamati, uchaguzi mkuu ni Jumapili hii, Chukua tahadhari

Wakati kampeni za wagombea kwenye kinyang’anyiro cha uraisi, wabunge na madiwani zikiendelea kila mtu akijaribu kujihakikishia kwa namna moja au nyingine anapata wapiga kura wengi zaidi ili aweze kushinda, kuna vitu vya hapa na pale kwa mtu mwenye uelewa unatakiwa kuwa makini navyo. Ingawa tumejaa na hisia mbalimbali kuhusu uchaguzi wa mwaka huu, kitu nilichojifunza […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Kumekucha uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu CCM, Viwanja vya Jangwani leo

dafKatibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma ‘Gadafi’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake uliofanyika mapema Agosti 22, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama hicho utaofanyika leo viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Na Dotto Mwaibale   CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza ratiba ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa chama hicho utakaofanyika leo...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NCHINI WAJADILI MWENENDO WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Peter Kuga Mziray akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kutafakari  mwenendo  wa Kampeni unavyoendelea na Changamoto na Utatuzi wake katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar,kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Fedha ya Baraza la vyama vya Siasa Constantine Akitanda na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa ya Baraa la vyama vya Siasa Lifa Chopaka.-Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani