Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni zinafikia tamati, uchaguzi mkuu ni Jumapili hii, Chukua tahadhari

Wakati kampeni za wagombea kwenye kinyang’anyiro cha uraisi, wabunge na madiwani zikiendelea kila mtu akijaribu kujihakikishia kwa namna moja au nyingine anapata wapiga kura wengi zaidi ili aweze kushinda, kuna vitu vya hapa na pale kwa mtu mwenye uelewa unatakiwa kuwa makini navyo. Ingawa tumejaa na hisia mbalimbali kuhusu uchaguzi wa mwaka huu, kitu nilichojifunza […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Sababu Tisa kwanini CCM itashinda katika Uchaguzi Mkuu Jumapili hii, Oktoba 25

Na January MakambaTarehe 25 mwezi huu Oktoba, Watanzania watapiga kura kumchagua rais wao wa tano, wabunge na madiwani. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umekuwa na msisimko mkubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa siasa za vyama vingi mwaka 1995. Mengi yamendikwa kuhusu uchaguzi huu, hususan kutokana na hisia kwamba safari hii Upinzani una nafasi ya kukiondoa madarakani moja ya vyama vikubwa na vyenye muundo bora barani Afrika, chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Matukio mbalimbali kuelekea...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMBO YOTE JUMAPILI HII TAMASHA LA KISWAHILI JUMAPILI HII-(WASHINGTON DMV) -MABALOZI WA NA NCHI ZOTE ZA MASHARIKI WATHIBITISHA KUWEPO.


MAYOR WA MJI WA BLADENSBURG KUHUTUBIA, MABALOZI WA NCHI ZA AFRICA MASHARIKI WATAKUWEPO,FREE BOAT RIDE KUZUNGUKA MTO, MICHEZO YA WATOTO, UTAMADUNI WA AFRIKA MASHARIKI,VENDORS,CHAKULA CHA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA SAFARI RESTAURANT DC, VINYWAJI BARIDI VYOTE VINAPATIKANA:                                               HAKUNA KIINGILIO NI BUREEE!

 

10 years ago

Mwananchi

Kimbunga ni majanga ya hatari, chukua tahadhari

Kimbunga ni dhoruba kali inayoanza juu ya bahari katika maeneo ya tropiki yenye upepo wenye mwendo kasi wa zaidi kilomita 117 kwa saa. Kimbunga ni dhoruba aina ya tufani.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Chadema Wafichua Mbinu Zilizopangwa Kuvuruga Uchaguzi wa Jumapili hii

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald Munisi (kulia) akifafanua jambo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdallah Safari Thursday, October 22, 2015 ZIKIWA zimebaki siku tatu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka […]

The post Chadema Wafichua Mbinu Zilizopangwa Kuvuruga Uchaguzi wa Jumapili hii appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

GPL

VURUGU KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI HII SIYO SIASA

Na Igenga Mtatiro, Tarime Hii siyo siasa! Ndivyo walivyokuwa wakisema watu wengi mjini hapa baada ya hivi karibuni kushuhudia mtu mmoja, Mwita Bhoke Watei (37), mkazi wa Kijiji cha Nyandage, Kata ya Nyanungu, Tarime mkoani hapa, akiuawa kwa kukatwa mapanga katika vurugu za kampeni za uchaguzi zinazoendelea nchini kote kwa sasa......Soma zaidi===>http://bit.ly/1J9g6dp ...

 

9 years ago

Mwananchi

Staili ya Magufuli kampeni za Uchaguzi Mkuu

Juni 4, Dk John Magufuli alijitokeza ofisi za Makao Makuu ya CCM, Dodoma, saa 11.30 jioni na kuchukua fomu za kuwania urais, akiwa amevalia sare za chama chake, suruali nyeusi na shati la kijani, akisindikizwa na mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshama na wapambe wengine wawili.

 

9 years ago

GPL

MCHAMBUZI AZUNGUMZIA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

Mchambuzi wa Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Richard Mbunda, akizungumza jambo kwenye hafla hiyo. Baadhi ya wanahabari na wanaharakati wakiwa katika hafla hiyo. Miongoni wa waliohudhuria hafla hiyo akinyosha mkono kutaka kuchangia mada mbalimbali…

 

9 years ago

BBCSwahili

Kampeni za Uchaguzi mkuu zaanza Tanzania

Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania zimeanza rasmi juzi. Oktoba 25 wananchi watapiga kura kuchagua madiwani, wabunge na Rais

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA KAMPENI YA CHUKUA HATUA MWAKA 2015

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni ya chukua hatua 2015 yenye lengo la kutathmini matokeo ya Milenia ambayo yanafikia ukomo wake Septemba mwaka huu na hivyo kuwa mwanzo wa kupanga malengo mapya baada ya hayo. Uzinduzi huo uliambatana na Vijana wa Kitanzania waliozaliwa mwaka 2000 ambao hivi sasa wana miaka 15 wakielezea nini wangetaka kuona kiafanyika Tanzania kwa miaka 15 ijayo.Mmoja kati ya Vijana wenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani