Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kimbunga ni majanga ya hatari, chukua tahadhari

Kimbunga ni dhoruba kali inayoanza juu ya bahari katika maeneo ya tropiki yenye upepo wenye mwendo kasi wa zaidi kilomita 117 kwa saa. Kimbunga ni dhoruba aina ya tufani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kampeni zinafikia tamati, uchaguzi mkuu ni Jumapili hii, Chukua tahadhari

Wakati kampeni za wagombea kwenye kinyang’anyiro cha uraisi, wabunge na madiwani zikiendelea kila mtu akijaribu kujihakikishia kwa namna moja au nyingine anapata wapiga kura wengi zaidi ili aweze kushinda, kuna vitu vya hapa na pale kwa mtu mwenye uelewa unatakiwa kuwa makini navyo. Ingawa tumejaa na hisia mbalimbali kuhusu uchaguzi wa mwaka huu, kitu nilichojifunza […]

 

5 years ago

CCM Blog

STOP KUTUMIA NAMBA YA TAHADHARI YA MAJANGA YA MOTO KWA KUTOA TAARIFA ZA UONGO

Na Lydia Lugakila
KAGERA

 Wananchi Mkoani Kagera wametakiwa kuacha mara moja tabia ya  kutoa taarifa zisizo za kweli kwa kutumia namba ya tahadhali inayotumika kutoa taarifa kwa jeshi la zimamoto na uokoaji.
kauli hiyo imetolewa  na mkaguzi wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Kagera Thomas Majuto wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ambapo amesema kuwa baadhi ya wananchi wamekuwa wakitumia vibaya namba ya tahadhali inatumika kutoa taarifa za majanga yakiwemo ya ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tahadhari:'Hatari za urembo bandia'

Baadhi wanauita urembo wa bandia ambapo wanawake na wanaume wanatumia mamilio ya dola kujiongeza urembo kwa kufanyiwa upasuaji

 

10 years ago

Dewji Blog

Tahadhari kabla ya hatari: Manispaa ya Singida mko wapi?

DSC04913

Jengo linalotumiwa na wafanyabiashara wa Tumbaku soko kuu mjini Singida,likiwa limechaa na kukosa sifa ya kutumiwa kwa hofu ya kuhatarisha maisha ya wafanyabiashara hao pamoja na wateja wao. Pamoja na kuchakaa kwa kiwango kikubwa, lakini manispaa ya Singida inajipatia ushuru kutoka kwa wafanyabiashara wa Tumbaku ambao wamedai wameililia manispaa hiyo kuliboresha,lakini juhudi zao zimeshindwa kuzaa matunda.(Picha naNathaniel Limu).

DSC04917

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!

Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, ndani ya jiji la Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana na Mdau Nathan Mpangala. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, dhahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa hiyo kwa kupindi chote hivyo,lakini mpaka leo iko kimya tu.  Hapa dereva ‘akilala’ tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi. Inawezekana Manispaa ya Temeke haina picha halisi ya hatari...

 

11 years ago

GPL

UNATAKA KUISHI KIMAPENZI? CHUKUA MUONGOZO HUU!- 2

Katika muongozo huu wa kuishi kimapenzi.Wiki iliyopita nilikutaka ujifunze kuweka maudhi ya pembeni kando unapokuwa na mwenzi wako. Unapovuka kizingiti cha mlango, hakikisha hasira zote unaziacha hapo ili unapoingia ndani kichwa chako kiwe chepesi kupokea yaliyomo ndani ya nyumba. Inahitaji hekima za hali ya juu kusahau maudhi ya nje haraka, kwani wengi wamekuwa shubiri kwa wapenzi wao. Anaingia ndani, mwenzake anampokea kwa...

 

11 years ago

GPL

UNATAKA KUISHI KIMAPENZI? CHUKUA MUONGOZO HUU!

Tupo kwenye msimu wa wapendanao, tunaelekea ile siku inayoitwa Valentine’s Day. Kuna mambo ni vizuri kuwekana sawa. Mapenzi sahihi ni yale yenye alama za kimapenzi na lazima uwe na muongozo unaofaa.
Saikolojia inafundisha kuwa muungwana ni yule anayejifunza kupunguza msongo wa mawazo, kuongeza furaha na kukuza umakini. Hii inamaana kwamba yule anayetumia muda mwingi kufikiria vitu hasi hana ufanisi mzuri kijamii na hata...

 

11 years ago

Mwananchi

Jakamoyo husababisha mauti, chukua hatua kuliepuka

Binadamu anakabiliwa na hali ya maisha ambayo inamsababishia masumbufu yanayojulikana kama jakamoyo yaani mfadhaiko.

 

9 years ago

Michuzi

HATI MILIKI INAPOPOTEA, HARAKA CHUKUA HATUA HIZI.

Hati miliki  ni  mali  inayohamishika  na  hivyo  inaweza kupotea.  Kupotea  kwa  hati miliki  kunaweza  kuwa  katika  mazingira  mengi.  Inaweza kupotea katika  mazingira ya  kuibiwa,  kufichwa  au  kutupwa  kwa  makusudi  kwa   malengo  mabaya  na  mazingira  mengine  yoyote  yanayofanana  na matukio  hayo.  Lakini   mara  kwa  mara  kupotea  kwa  hati  huhusishwa  na  mbinu  chafu  za  kubadilisha  umiliki   pasipo  uhalali  au  kutumika  katika  shughuli  za  kujipatia mikopo   pasi  na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani