Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni za uhamasishaji virutubishi kwenye chakula zaendelea Mkoani Manyara

Mwelimishaji wa masuala ya lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe,Bi. Sara Luzangi akiongea na wanafunzi wa shule za msingi wilayani Babati mkoani Manyara juu ya umuhimu wa matumizi ya vyakula vilivyowekwa virutubishi katika kampeni za kutoa elimu hiyo zinazoendelea katika wilaya mbalimbali za hapa nchini. Waendeshaji wa kampeni ya kuongeza virutubishi katika chakula kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Chakula wakiendesha kampeni ya umuhimu wa virutubishi kwa wanafunzi wa shule za msingi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NHIF Mkoa wa Manyara, yaendesha kongamano la uhamasishaji wa mpango wa Kikoa kwa wajasiriamali

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Mkoani Manyara, Mh. Mahmoud Kambona akizungumza wakati akifungua kongamano la uhamasishaji wa mpango wa Bima ya Afya wa kikoa kwa wajasiriamali na vikundi vilivyosajiliwa Mji mdogo wa Mirerani.Kulia kwake ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa mkoa huo, Isaya Shekifu na kushoto kwake ni Ofisa Tarafa ya Moipo, Joseph Mtataiko. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa Mkoa wa Manyara, Isaya Shekifu akizungumza katika kongamano la...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Wilaya ya Arusha kampeni ya uongezaji virutubishi leo

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mheshimiwa John Mongela akiongea wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uongezaji virutubishi katika ngazi ya jamii mkoani Arusha leo,   kushoto kwake ni Dr. Vicent Assey kutoka Wizara ya Afya –makao makuu na kulia kwake ni  Kaimu Mganga mkuu wa Arusha ,Dr. Omary Chando.Uzinduzi huo ulianza kwa mafunzo maalumu kutoka wizara ya Afya ikishilikiana na taasisi ya chakula na Lishe (TFNC)  kutolewa kwa viongozi wa juu wa Mkoa pamoja na wakuu wa wilaya za Monduli, Karatu na...

 

9 years ago

StarTV

TANAPA yaanzisha kampeni ya Uhamasishaji.

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA limeanzisha kampeni ya miezi sita ya kuwahamasisha watanzania kutembelea hifadhi za Taifa nchini. Malengo ya kampeni hiyo ni kutaka hadi kufikia mwezi Desemba mwaka huu zaidi ya watanzania laki tano wawe wameshatembelea hifadhi hizo nchini.

Katika mkutano wa waandishi wa habari na wadau wa utalii wa mkoa wa Tanga,Kaimu Meneja wa Masoko wa shirika Hifadhi za Taifa TANAPA, Victor Rafael amesema kampeni hiyo imeanza Julay 1 na itaishia mwezi Desemba...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPENI JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA

Na John Gagarini, Mandela MGOMBEA Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete amesema kuwa endapo atafanikiwa kuchaguliwa kwenye nafasi hiyo atahakikisha zahanati inajengwa kwenye Kijiji cha Kibaoni ili kuwaondolea adha wananchi wa kijiji hicho. Aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Kijijini hapo kata ya Mandela na kusema kuwa ilani ya chama anasema kila kijiji lazima kiwe na zahanati huku kila kata ikitakiwa kuwa na kituo cha afya ili...

 

9 years ago

Michuzi

Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.

 Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.
Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.

 

10 years ago

Dewji Blog

NHIF yazindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF)

1

Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Mh. Abdallah Ulega akipokea mashuka 150 kutoka kwa Rehani Athumani Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii CHF yaliyotolewa na mfuko huo kwa wilaya ya Kilwa wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji wananchi kujiunga na mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika katika kijiji cha Njia Nne Kata ya Tingi, Katikati ni Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa mkoani Lindi Bi Fortunata Raymond.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI NYALANDU AZINDUA KAMPENI YA UHAMASISHAJI WATANZANIA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA‏

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko na Utalii wa TANAPA Bw. Ibrahim Musa wakati alipowasili kwenye klabu ya Yacht, Jijini Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji watanzania kutembelea Mbuga za Taifa iliyozinduliwa leo jijini humo ikiwashirikisha Bodi ya Utalii Tanzania TTB, kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi. Kampeni...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPENI YA UHAMASISHAJI JUU YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUPITIA UENDESHAJI WA BAISKELI YAANZA MBEYA

Waendesha baiskeli kutoka Malawi wakiwasili kwenye mpaka wa Tanzania na nchi hiyo tayari kwa kukabidhi kijiti cha kampeni hiyo kwa wenzao wa Tanzania.Mmoja wa waendesha baiskeli Tanzania ambaye pia ni Ofisa Miradi wa Norwegian Church Aid, Tanzania, Gilbert Mworia.Meneja Miradi wa shirika la Norwegian Church Aid, Augustina Mosha akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uhamasishaji juu ya mabadiliko ya tabianchi kupitia uendeshaji wa baiskeli.Waendesha baiskeli wa Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani