Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANAPA yaanzisha kampeni ya Uhamasishaji.

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA limeanzisha kampeni ya miezi sita ya kuwahamasisha watanzania kutembelea hifadhi za Taifa nchini. Malengo ya kampeni hiyo ni kutaka hadi kufikia mwezi Desemba mwaka huu zaidi ya watanzania laki tano wawe wameshatembelea hifadhi hizo nchini.

Katika mkutano wa waandishi wa habari na wadau wa utalii wa mkoa wa Tanga,Kaimu Meneja wa Masoko wa shirika Hifadhi za Taifa TANAPA, Victor Rafael amesema kampeni hiyo imeanza Julay 1 na itaishia mwezi Desemba...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

TANAPA yaanzisha kamati za ulinzi vijijini

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa), limeanzisha mpango wa kuunda kamati za ulinzi shirikishi kwenye vijiji vinavyozunguka hifadhi, ili kuongeza nguvu ya kupambana na ujangili.

 

11 years ago

Michuzi

Kampeni za uhamasishaji virutubishi kwenye chakula zaendelea Mkoani Manyara

Mwelimishaji wa masuala ya lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe,Bi. Sara Luzangi akiongea na wanafunzi wa shule za msingi wilayani Babati mkoani Manyara juu ya umuhimu wa matumizi ya vyakula vilivyowekwa virutubishi katika kampeni za kutoa elimu hiyo zinazoendelea katika wilaya mbalimbali za hapa nchini. Waendeshaji wa kampeni ya kuongeza virutubishi katika chakula kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Chakula wakiendesha kampeni ya umuhimu wa virutubishi kwa wanafunzi wa shule za msingi...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPENI YA UHAMASISHAJI JUU YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUPITIA UENDESHAJI WA BAISKELI YAANZA MBEYA

Waendesha baiskeli kutoka Malawi wakiwasili kwenye mpaka wa Tanzania na nchi hiyo tayari kwa kukabidhi kijiti cha kampeni hiyo kwa wenzao wa Tanzania.Mmoja wa waendesha baiskeli Tanzania ambaye pia ni Ofisa Miradi wa Norwegian Church Aid, Tanzania, Gilbert Mworia.Meneja Miradi wa shirika la Norwegian Church Aid, Augustina Mosha akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uhamasishaji juu ya mabadiliko ya tabianchi kupitia uendeshaji wa baiskeli.Waendesha baiskeli wa Tanzania...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI NYALANDU AZINDUA KAMPENI YA UHAMASISHAJI WATANZANIA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA‏

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko na Utalii wa TANAPA Bw. Ibrahim Musa wakati alipowasili kwenye klabu ya Yacht, Jijini Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji watanzania kutembelea Mbuga za Taifa iliyozinduliwa leo jijini humo ikiwashirikisha Bodi ya Utalii Tanzania TTB, kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi. Kampeni...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHIF yazindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF)

1

Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Mh. Abdallah Ulega akipokea mashuka 150 kutoka kwa Rehani Athumani Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii CHF yaliyotolewa na mfuko huo kwa wilaya ya Kilwa wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji wananchi kujiunga na mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika katika kijiji cha Njia Nne Kata ya Tingi, Katikati ni Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa mkoani Lindi Bi Fortunata Raymond.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA...

 

9 years ago

GPL

KAMPENI YA UHAMASISHAJI JUU YA MABADILIKO YA TABIANCHI KUPITIA UENDESHAJI WA BAISKELI YAANZA MBEYA‏

Waendesha baiskeli kutoka Malawi wakiwasili kwenye mpaka wa Tanzania na nchi hiyo tayari kwa kukabidhi kijiti cha kampeni hiyo kwa wenzao wa Tanzania. Mmoja wa waendesha baiskeli Tanzania ambaye pia ni Ofisa Miradi wa Norwegian Church Aid, Tanzania, Gilbert Mworia.…

 

10 years ago

Michuzi

Ulega azindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Wilayani Kilwa leo

Mkuu wa wilaya ya Kilwa, Abdala Ulega amewakata watendaji na watoa huduma wilayani humo kuhakikisha huduma muhimu za matibabu hasa dawa zinapatina muda wote ili kuboresha huduma wilayani hapo.
Ulega ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya uhamasiahaji wananchi kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF) inafanywa na Mfuko wa taifa wa bima ya afya katika halmashauri kumi nchi nzima iliyozinduliwa kata ya Tingi njia nne wilayani kilwa.
Ulega amesema Serikali kupitia mfuko...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SUA yaanzisha kampeni kulinda Bwawa la Mindu

CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeanza kampeni ya nguvukazi kupanda miti kuzunguka Bwawa la Mindu linalotegemewa kwa zaidi ya asilimia 70 katika kutoa huduma ya maji safi na...

 

9 years ago

Michuzi

TANAPA YATANGAZA KAMPENI YA MIEZI SITA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI.


Kaimu Meneja Masoko wa Shirika la Hifadhi za Taifa,TANAPA,Victor Ketansi akizungumza na wanahabari(hawako pichani) juu ya Kampeni ya uhamasishaji wa utalii wa ndani kwa wazawa itakayodumu kwa muda wa miezi sita.Mkuu wa Idara ya Utali katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Eva Mallya akizungumza vivutio mbalimbali vunavyopatikana katika hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro.Meneja Mawasiliano Mwandamizi wa Shirika la Hifadhi za Taifa,TANAPA,Catherine Mbena akiwa na mwandishi wa habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani