KAMPUNI YA EVERWELL CABLE AND ENGINEERING CO. LTD YACHANGIA SH. MILIONI 100 KUKABILIANA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-HmnnLnoH49Q/XrwfhAGU0CI/AAAAAAALqH0/L7CiAPNo9707VyKI87GluxPzGHTjyG-7QCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_9260-2048x1345.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama akipokea hundi ya Sh. 100,000,000/= kutoka kwa kampuni ya Everwell Cable and Engineering Co. Ltd, ikiwa ni mchango kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali za mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu- COVID – 19. Makabidhiano hayo yamefanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWADAU WACHANGIA SH. MILIONI 150 KUKABILIANA NA CORONA
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YACHANGIA MSAADA WA LITA 1,250 ZA VITAKASA MIKONO KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA,
====== ========== ======== ========
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imeunga mkono mapambano dhidi ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tIek3Sfwcdc/Xs0SEul2-_I/AAAAAAALrms/Yq5GY4Bq_zMgJwXSs-W_12-7-5jtNgDewCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100
![](https://1.bp.blogspot.com/-tIek3Sfwcdc/Xs0SEul2-_I/AAAAAAALrms/Yq5GY4Bq_zMgJwXSs-W_12-7-5jtNgDewCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ilikubali kuilipa Serikali kumaliza mzozo uliokuwepo kati ya Serikali na Kampuni hiyo hatua iliyosababisha pia kuanzishwa kwa Kampuni ya Ubia ya Madini ya Twiga kati ya Serikali na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4k2ZuzsVKpQ/XnL-Iime0HI/AAAAAAALkX4/iCFZEzNcdtwrfIQtAL0HhjNOPzmyK5O8QCLcBGAsYHQ/s72-c/11.jpg)
KAMPUNI YA ASAS YAPONGEZWA KWA MKAKATI NZURI WA KUKABILIANA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-4k2ZuzsVKpQ/XnL-Iime0HI/AAAAAAALkX4/iCFZEzNcdtwrfIQtAL0HhjNOPzmyK5O8QCLcBGAsYHQ/s640/11.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-ho0rRJoH6nQ/XnIDLYPZ7LI/AAAAAAAAHt4/DvXNGlLvu3wPWfm70Aj9VHsJS4MlWXGyACLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Serikali ya wilaya ya Iringa imeipongeza kampuni ya Asas kwa mikakati ambayo wanayo katika kuhakikisha wanajilinda na maambukizi ya virusi vya Corona ambavyo vimekuwa tishio kwa maisha ya binadamu.
Akizungumza kwenye kikao cha wadau mkuu wa wilaya ya Iringa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-zQ6Hwdb0aW8/XqgoD1INhCI/AAAAAAALof0/w5TzFs6pDqow6DNcvBFct8i1RZs-hM-ggCLcBGAsYHQ/s72-c/324.jpg)
SERIKALI YA ZANZIBAR YAPOKEA SH.MILIONI AROBAINI ILI KUKABILIANA NA CORONA
Michango hiyo imetolewa na Uongozi wa Benki ya NMB iliyokabidhi Shilingi Milioni 30,000,000/-, Benki ya Maendeleo Vijijini {CRDB} Shilingi Milioni 30,000,000/- pamoja na Uongozi wa Bodi ya...
5 years ago
MichuziMAT,SHIRIKA LA UTAFITI HPON WACHANGIA WA VIFAA VYA MILIONI 4.5 KINGA KUKABILIANA NA CORONA SHINYANGA
Chama Cha Madaktari Tanzania (Medical Association of Tanzania – MAT) na Shirika la Utafiti HPON (Heath For A Prosperous Nation) wametoa msaada wa Vifaa Kinga vyenye thamani ya shilingi Milioni 4.5 kwa ajili ya kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID -19) katika mkoa wa Shinyanga.
Vifaa kinga hivyo ambavyo vitatumika katika vituo vya kutolea huduma za afya mkoani Shinyanga vimekabidhiwa na wadau hao wa sekta ya afya leo Ijumaa Mei 22,2020 kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100, WAZIRI WA FEDHA AHUTUBIA HAFLA HIYO
Na Farida Ramadhani na Josephine Majura
KAMPUNI ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi.
Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick, Bw. Hilaire Diarra kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa niaba ya Serikali, Jijini Dodoma leo Mei 26, 2020.
Akizungumza baada ya...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA VODACOM KUBURUZWA KORTINI NI BAADA YA KUSHINDWA KUMLIPA SH.MILIONI 100 MSHINDI WA MCHEZO WA JAY MILLIONS
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZdrE7uIccwg/XoHu2i5XtHI/AAAAAAALljw/6SVlKdgKDC4yhveUFLWB9zHQkDJunT3xQCLcBGAsYHQ/s72-c/02.jpg)
BENKI YA NMB YAKABIDHI SHILINGI MILIONI 100 KWA WAZIRI MKUU KUPAMBANA NA CORONA
Waziri mkuu amekabidhiwa fedha hizo na Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB-Ruth Zaipuna mwishoni mwa wiki katika ofisi ya Waziri Mkuu, Dar es Salaam.
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZdrE7uIccwg/XoHu2i5XtHI/AAAAAAALljw/6SVlKdgKDC4yhveUFLWB9zHQkDJunT3xQCLcBGAsYHQ/s640/02.jpg)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto) akipokea hundi ya Sh. Milioni 100 kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona kutoka kwa Kaimu...