KAMPUNI YA GVEN WEAR YATOA MSAADA WA BARAKOA KWA KAYA ZINAZOISHI MAZINGIRA MAGUMU MANISPAA YA SHINYANGA
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kampuni ya Ushonaji Nguo na Mitindo Gven Wear ya Mkoani Shinyanga imetoa msaada wa Barakoa 100 kwa kaya zinazoishi katika Mazingira Magumu katika Manispaa ya Shinyanga ili kujikinga na Maambukizi dhidi ya Virusi vya Corona ‘COVID 19’.
Zoezi la kutembelea kaya hizo na kukabidhi barakoa kwa walengwa limefanyika leo Alhamis Mei 14,2020 likiendeshwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Gven Wear Bi. Grace Mng’ong’o aliyekuwa ameambatana na Wenyeviti wa Serikali za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRADIO FARAJA YAKABIDHI MSAADA KWA KAYA ZENYE KIPATO CHA CHINI KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA
Na Simeo Makoba - Shinyanga.
Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Shinyanga Emmanuel Ng’habi amekabidhi msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula na fedha taslimu kwa wazee wasiojiweza ambayo imechangwa na wadau mbalimbali wa Radio Faraja Fm Stereo iliyopo Mjini Shinyanga.
Ng'habi aliyekuwa ameongozana na Mwenyekiti wa Wenyeviti wa serikali za mitaa Manispaa ya Shinyanga Nassor Warioba na Wafanyakazi wa Radio Faraja Fm Stereo amekabidhi msaada huo Jumamosi Mei 16,2020.
Baadhi ya misaada...
5 years ago
MichuziSHUWASA YATOA MSAADA WA NDOO 15 ZENYE UJAZO WA LITA 45 KUKABILIANA NA CORONA KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA
Mkurugenzi wa SHUWASA Bi. Flaviana Kifizi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko (kushoto) ndoo 15 zenye ujazo wa lita 45 kila moja kwa ajili ya kunawia mikono katika maeneo ya huduma za kijamii ili kukabiliana maambukizi ya Virusi vya Corona (Covid -19)
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) imetoa msaada wa ndoo 15 zenye ujazo wa lita 45 kwa ajili ya kutumika kunawia mikono katika maeneo ya...
11 years ago
MichuziMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF YAIMARISHA MAHUDHURIO YA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI
11 years ago
MichuziMPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF WAHAMASISHA AKINA MAMA WAJAWAZITO KUHUDHURIA KLINIKI
11 years ago
MichuziTASAF na washirika wa maendeleo wanaofadhili Mpango wa kunusuru Kaya Masikini na zinazoishi katika mazingira hatarishi watembelea kisiwani Zanzibar
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-rdDce0s4-TI/U_SEUtlFryI/AAAAAAAGA4w/3neMxcTvspc/s72-c/1.jpg)
SOS CHILDREN TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MONTAGE LTD YAANDAA KAMPENI YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU
![](http://3.bp.blogspot.com/-rdDce0s4-TI/U_SEUtlFryI/AAAAAAAGA4w/3neMxcTvspc/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-aaa85DzqTMU/U_SEWTG-EZI/AAAAAAAGA4c/xi8To9od5u8/s1600/5.jpg)
5 years ago
MichuziJAMBO YATOA MSAADA WA VINYWAJI KWA JESHI LA AKIBA SHINYANGA
Kampuni ya Utengenezaji na Usambazaji wa Vinywaji baridi ‘Jambo Food Products Limited’ ya mkoani Shinyanga imetoa msaada wa katoni 50 za vinywaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba wilaya ya Shinyanga waliopo katika mafunzo yao.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo leo Ijumaa Februari 21,2020, Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Food Products Ltd, Esme Salum amesema kampuni hiyo imeungana na wanafunzi wa Jeshi la akiba kwa kuchangia katika kufanikisha mahafali ya mafunzo yatakayofanyika Machi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-oGTibmeGhdI/XsgUAbx0gTI/AAAAAAALrVI/-P4Bx5VNKU4ET4jkoee1Cwtr9zCVaNGgwCLcBGAsYHQ/s72-c/YUSUPH%2B2.jpg)
KAMPUNI YA F.M ABRI YATOA NDOO KWA UMOJA WA DALADALA MANISPAA YA IRINGA
NA DENIS MLOWE,IRINGA
KAMPUNI ya F.M Abri ya mkoani Iringa inayojishughulisha na sekta ya usafiri wa mizigo na vituo vya mafuta imekabidhi ndoo maalum za kunawia mikono 30 na sabuni za kutakasia mikono zaidi ya 100 kwa chama cha madereva daladala manispaa ya Iringa ajili ya kupambana na ugonjwa wa corona.
Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya mkurugenzi wa FM Abri, Arifu Abri mwakilishi wa kampuni hiyo, Yusuph Majaliwa alisema lengo la kampuni hiyo ni kuiunga mkono serikali katika mapambano...