KAMPUNI YA TAN COMMUNICATION MEDIA YAFUTURISHA JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis wakati akiwa na wageni wake waalikwa mbalimbali wakipata iftari ya pamoja kwenye hafla hiyo,hafla iliyofanyika katika studio za redio hiyo zilizopo Njiro jijiniArusha iliyohudhuriwa na Viongozi wa dini na wadau wengine.
Sheikh Mkuu wa Bakwata mkoa wa Arusha,Shaaban Juma aliyekuwa mgeni rasmi katika halfa hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Tan Communication Media.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
Kampuni ya TIGO yafuturisha jijini Dar
Meneja mkuu wa Rasilimali Watu wa Tigo Tanzania, Catherine Olaka akitoa zawadi kwa watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke mara baada ya kupata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu Jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya wafanyakzi wa Tigo na watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wa kituo cha...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-zve9j4goPDQ/VN37anbeU6I/AAAAAAADYEk/ev2r2865BFE/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA MWANANCHI COMMUNICATION
![](http://1.bp.blogspot.com/-zve9j4goPDQ/VN37anbeU6I/AAAAAAADYEk/ev2r2865BFE/s1600/01.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communication, Francis Nanai, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 13, 2015 kwa mazungumzo na kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo. Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bakari Machumu.
![](http://3.bp.blogspot.com/-XuxuhqBYcus/VN37ZqGHEdI/AAAAAAADYEQ/u3qhbd61Gos/s1600/002.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Teddy Mapunda...
10 years ago
Michuzi26 Nov
KAMPUNI YA NABAKI AFRIKA WAFUNGUA TAWI KUBWA JIJINI ARUSHA
![SAM_0100](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/nbPzovvExpGsjjEOn5rIVFKu86iAAmMvaj701gAK0AY8qJwT1Am51pC69wslrsCN66O9JMQJm-y4srCQHVFnPudHChgiFE1mCWfpHFnnfw_IB_2DYvcZvlq9=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/11/sam_01001.jpg?w=627)
![SAM_0113](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/x11x9al3mwqjV2nAh1BUHzy4bQ7JApxEogD4UzG5XLsgC2YxZHCaJi41fYcF8_jqRNu5-U6SUVe_Y7CHN8p196f_4RkPU6-t05_NaEkTccLESRP6dP0YKHw=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/11/sam_0113.jpg?w=627)
msimamizi mkuu wa tawi hilo Jesse Madauda akiongea na wanahabari juu ya ufunguzi huo wa tawi kubwa la kamapuni ya Nabaki Afrika tukio lililofanyika hivi karibuni
![SAM_0109](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/ZGuLgcOztIQySFgEYWaMzAWmoaSwMj1efiq2eIuvD3brrdxai5t4mP6QKS73x1B9N2Qj11-gozanz0X-KkecjOxy5dsE8OS_5VNL0SALRFCpz_Z-X9wq2njE=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/11/sam_01091.jpg?w=627)
Kulia niTania Hamilton akiwa na mumewe mwenyekiti wa kampuni Nabaki Afrika Hamish Hamilton
![SAM_0128](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/66SmfMsHb6PoH6997hD9VzJq9AvjLLa5apa6cuRXN0Jx8iGQnwrncxjHbwTBjKrS_gnLdzhWCkXeD0KkM8IiZGdEK-p8W4QeEdwB4CssUhUN4SX6Vd0UGaQ=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/11/sam_0128.jpg?w=627)
Mwanzilishi na Mwenyekiti wa kampuni ya Nabaki Afrika Hamish...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/01/132.jpg)
KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA
10 years ago
MichuziChuo Kikuu cha Nelson Mandela jijini Arusha chaingia mkataba na kampuni ya Huawei Tanzania
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oRfsWes6WMg/U9JnZW0MreI/AAAAAAAF6Rk/OfRC5Dm0xss/s72-c/unnamed+(27).jpg)
VODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA JIJINI MBEYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-oRfsWes6WMg/U9JnZW0MreI/AAAAAAAF6Rk/OfRC5Dm0xss/s1600/unnamed+(27).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-VXy5T8g_J0I/U9JnZ39KI6I/AAAAAAAF6Rs/0WcUMMdhWuE/s1600/unnamed+(28).jpg)
11 years ago
MichuziBancABC YAFUTURISHA WADAU WAKE JIJINI DAR