KAMPUNI YA TTCL YAKANUSHA MADAI YA TEWUTA, YADAI HAYANA UKWELI WOWOTE
![](http://1.bp.blogspot.com/-wKcNQEc4vyc/VkNV9KdfnvI/AAAAAAAAFdg/Zm0-fkDpK1M/s72-c/IMG_0177.jpg)
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi akizungumza na vyombo vya habari Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam kujibu madai ya TEWUTA.
Baadhi ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mazungumzo ya Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (hayupo pichani) alipozungumza na vyombo hivyo leo jioni. KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imepinga madai yaliyotolewa na Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV14 Nov
TTCL lapinga madai ya TEWUTA kudorora kwa huduma
Wakati Chama cha Wafanyakazi wa Huduma za Mtandao wa Mawasiliano TEWUTA kikidai kuwepo kwa hali mbaya ya huduma na utendaji kwenye shirika la simu nchini TTCL, uongozi wa shirika hilo umeutaka umma wa Tanzania kutozingatia tamko hilo kwa kuwa halina maslahi yoyote kitaifa.
TTCL inasema shirika lake linaendelea vema kutoa huduma kwa wananchi na wanaamini hivyo kwa kuwa halijapata malalamiko yoyote yanayohusiana na utoaji huduma duni kutoka kwa wateja.
Start Tv imetembea ofisi za TTCL makao...
10 years ago
StarTV06 Feb
Kampuni ya Simu TTCL yakanusha kufilisika.
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Wakati taarifa za kufilisika kwa Kampuni ya simu nchini TTCL zikichukua nafasi hivi sasa, kampuni hiyo imekanusha madai hayo ikiwahakikishia watanzania maboresho ya huduma zake yatakayoanza kufanyika hivi karibuni na huduma bora zaidi kuanza kutolewa baadae mwaka huu.
Imesema, tayari imekwishasaini makubaliano ya maboresho hayo na kinachosubiriwa sasa ni kuanza kwa utekelezaji wake.
TTCL, kampuni tanzu ya huduma za mawasiliano hapa nchini, hivi sasa...
10 years ago
MichuziKampuni ya Simu Tanzania TTCL Yazinduwa Dili la Ukweli
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya huduma hiyo, Meneja Huduma za Intaneti wa TTCL, Abdul Mombokaleo amesema kampuni ya Simu Tanzania imeamua kuzindua promosheni mpya ya “DILI LA UKWELI” inayotoa fursa ya mteja wa...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Taso yakanusha madai ya Nanenane
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Ghana yakanusha madai ya ukimbizi Brazil
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Virusi vya Corona: Ukweli juu ya madai ya kinga ya Vitamini C
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/HgrE5awSMWk/default.jpg)
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Virusi vya Corona: Fahamu ukweli wa madai ya kinyesi cha ng'ombe hutibu virusi