Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA UBELGIJI YA TPF SAMBRE YAANZA KUFANYA KAZI TANZANIA

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa kampuni ya ushauri ya TPF Basse Sambre baada kukutana nao leo ofisini kwake Brussels. Wa kwanza kulia ni Bwana. Stefan Pousset Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo na wa kwanza kushoto ni Bwana Jerome Bestgen Meneja wa mauzo wa kampuni hiyo. Wa pili kulia ni Bwana Nyamtara Mukome afisa katika Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Wawakilshi hao walimweleza Balozi Kamala  kwamba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JUST IN: KAMPUNI KUBWA ZA UJEZI ZA UTURUKI ZAVUTIWA KUFANYA KAZI TANZANIA

Kampuni kadhaa kutoka nchi ya Uturuki zimeanza kuingia Tanzania ili kushiriki katika kazi za ujenzi kwenye maeneo mbali mbali hapa nchini.  Kukua kwa sekta ya ujenzi kumekua ndiyo kivutio kikuu kilichozifanya kampuni hizo kuonyesha nia ya kufungua ofisi zao hapa nchini.   Wakizungumzi katika kikao na Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli walipomtembelea ofisini kwake, wawakilishi kutoka Kampuni Kampuni tatu tofauti wamempongeza Waziri huyo kwa jinsi anavyosimamia sekta hiyo ya...

 

10 years ago

Michuzi

MBEYA CITY COUNCIL F.C INAKARIBISHA KAMPUNI ZENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI NA CLUB YETU.

Kazi zinazotangazwa ni kama ifutazo:
I.    Kuwa mwagizaji wa vifaa mbalimbali vya club
II.    Kuuza vifaa mbalimbali vya club
Zabuni hii inafuati utekelezaji wa club kutaka kukuza mapato yake ili
iweze kujijenga msingi imala ya mapato na hivyo kuiwezesha kuendesha
shughuli zake mbalimbali.

Mwombaji anatakiwa atimize masharti yafuatayo.
1. Awe na Leseni hai ya biashara husika
2. Awe amesajiliwa kama mlipa kodi
3. Maelezo ya kampuni yaani Company profile ikieleza aina ya kampuni au
biashara unayoifanya...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AMSHUKURU MZEE NYAMTARA MUKOME KWA KAZI NZURI ALIYOFANYA UBALOZI WA TANZANIA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akimkabidhi Mzee Nyamtara Mukome zawadi ya kumshukuru kwa kazi nzuri aliyofanya Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji alipokuwa Afisa wa Mambo ya Nje Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji masuala ya Jumuiya ya Ulaya. Mhe. Nyamtara amestaafu na wiki ijayo anarejea Tanzania.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA UBELGIJI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI LIEGE - UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Ubelgiji baada ya kumaliza mazungumzo nao leo Liege - Ubelgiji.

 

10 years ago

CloudsFM

SHILOLE KUFANYA SHOO UBELGIJI JUMAMOSI HII

Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem jijini Brussel.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA TRACTEBEL ENGINEERING S.A. YA UBELGIJI

 Balozi wa Tanzania  Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya  ya Ulaya Dr. Diodorus  Kamala akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi pamoja na wadau kutoka Tanzania katika sekta mbalimbali za usafirishaji wa majini ,anga na reli.Kulia kwa Dr Kamala ni Mkurugenzi wa Tractebel Engineering nchini Ubelgiji bwana Hein Dirix na kushoto kwa Balozi Kamala ni Mh. Nazir Karamagi mkurugenzi mtendaji wa Tanzania International Container Terminal Service Limited. Picha na Maganga One

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAMPUNI YA ABC UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji,Dk. Diodorus Kamala akiangalia mtambo wa kufua umeme unaotengenezwa na kiwanda cha ABC cha Ubelgiji. Mtambo huo ni kati ya mitambo itakayopelekwa Mpanda Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani