Kanda za sauti ya Osama zasikika
Ni aina gani ya muziki alioupenda aliyekuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Queda Osama bin Laden
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 May
Risasi zasikika nje ya kasri la rais Burundi
Polisi wamefyatua risasi na mabomu ya kutoa machozi kwa waandamanaji waliokaribia makao ya rais katika mji mkuu wa Bujumbura.
10 years ago
TheCitizen21 Jan
US embassy speaks out on Osama informer
The United States yesterday refused to be drawn into a discussion on claims that information on the whereabouts of Osama bin Laden was first relayed to its embassy in Dar es Salaam in 2005.
10 years ago
TheCitizen20 Jan
Did intel from Dar lead US to Osama?
>Did information that led to the killing of Osama bin Laden in Pakistan in May 2011, originate from an informer in Dar es Salaam? This is the question begging an answer following new claims that a man who tipped off the US security agencies about the whereabouts of bin Laden in Dar es Salaam is now demanding his reward of $27 million.
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Waathiriwa wa Osama kufidiwa Tanzania
Watanzania walioathirika na mlipuko wa mabomu katika ubalozi wa Marekani mjini Dar es Salaam wameshinda kesi yao na sasa watalipwa fidia.
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Shekau wa Boko Haram kama Osama
JUZI baadhi ya vyombo vya habari duniani vilitangaza taarifa za kuuawa kwa kiongozi wa kundi la wanamgambo wenye itikadi kali ya kiislamu la Boko Haram, Abubakar Shekau nchini Nigeria. Taarifa...
10 years ago
BBCSwahili11 May
Osama:Mwandishi akanusha madai ya Marekani
Mwaandishi mmoja amekanusha madai ya utawala wa Rais Obama kuhusiana na kuuawa Osama Bin Laden
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Watoto wafunzwa fikra za Osama Pakistani
Watoto takriban 5,000 wanapewa mafunzo ya misimamo ya Osama bin Laden nchini Pakistani
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Waathirika wa milipuko ya Osama Dar wafurahia fidia
 Baadhi ya wanafamilia wa waliopoteza ndugu kwenye shambulio la ugaidi katika Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam mwaka 1998, wameelezea kufarijika kutokana na malipo ya fidia, licha ya kwamba hayawezi kurejesha uhai wa waliokufa.
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Watanzania waliolipuliwa na Osama kuzoa Sh672 bilioni
>Watanzania wanne waliojeruhiwa katika mlipuko wa bomu katika ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na wengine watano waliofariki dunia katika mlipuko huo watalipwa fidia ya Sh672 bilioni, kiwango ambacho ni sawa na bajeti ya wizara nne za Tanzania.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania