Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KANISA LAMGOMEA KUMBATIZA MTOTO WA AUNT

MASHARTI! Kanisa Katoliki limemzuia staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel kumbatiza mwanaye kutokana na kutokidhi matakwa ya kanisa.Tukio hilo limetokea hivi karibuni mara baada ya mwigizaji huyo ambaye imani yake ni ya Kiislamu, kutaka kumbatiza mwanaye huyo ambaye baba yake ( Moze Iyobo) ni Mkatoliki. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1gY7C2F

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Staa wa filamu nchini, Aunt Ezekiel. Imelda Mtema, Dar es Salaam
STAA wa filamu nchini, Aunt Ezekiel amebahatika kupata mtoto wa kike kwa kujifungua salama, jana mchana katika hospitali binafsi iliyopo Mbezi jijini Dar, baada ya kufanyiwa upasuaji. Akizungumza huku akiwa mwenye furaha, Aunt alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa kila jambo kwa kuwa yeye ndiye muweza na aliyefanikisha safari yake hiyo salama, hivyo anamshukuru...

 

9 years ago

GPL

IYOBO AKUBALI KUMUACHIA MTOTO MUME WA AUNT

Shani Ramadhani
MAKUBWA! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo amekubali kuruhusu mtoto aliyezaa na mwigizaji Aunt Ezekiel achukuliwe na mume wa mwigizaji huyo, Sunday Demonte aliyeko jijini Abu Dhabi akitumikia kifungo cha msala wa madawa ya kulevya. Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo akiwa na mzazi mwenzie  Aunt Ezekiel. Iyobo ametoa kauli hiyo mara baada ya Sunday ambaye imeelezwa kuwa anaweza...

 

9 years ago

GPL

AUNT: NINGETAKA MTOTO MWEUPE, NINGEZAA NA MZUNGU

Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa na mzazi mwenzie pamoja na mtoto wao. Imelda mtema Sawasawa! Katika kuonesha kuwa amechoshwa na manenomaneno, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa watu wanaosema mwanaye Cookie ni mweusi ndiyo maana hamuoneshi, hawapo sawa kwani angetaka mtoto mweupe angezaa na Mzungu. Akizungumza na gazeti hili wikiendi iliyopita, Aunt alisema kuwa kuna watu hawana...

 

11 years ago

GPL

MIAKA 2 YA NDOA; AUNT EZEKIEL AANZA KUSAKA MTOTO

MWIGIZAJI nguli katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel (pichani) anadaiwa kuanza kusaka mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte. Muigizaji nguli wa tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel akipozi. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Aunt, siku si nyingi staa huyo atakwenda kuweka makazi ya muda kwa mumewe Dubai hadi atakapopata ujauzito. Akizungumza na Amani hivi karibuni, rafiki huyo ambaye aliomba jina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza la Madiwani lamgomea waziri

BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, limemgomea Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri kuendelea...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto mchanga apatikana katika hori la kanisa

Mtoto mchanga amepatikana ametelekezwa katika hori ndani ya kanisa moja mjini New York Marekani

 

10 years ago

Dewji Blog

Staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel sasa ni Mama COOKIE!! ajifungua mtoto wa kike

AUNTY35Aunt Ezekiel

Na Andrew Chale, Modewji blog

Ilikuwa si rahisi kama ilivyojulikana na wengi hasa kwa namna ya ‘fans’ wa staa wa filamu za Bongo maalufu  Bongo  Movie,  kujua  hatma ya ujauzito wake ambao ulikuwa ukifuatiliwa na wengi.  staa huyo si mwingine ni Aunty Ezekiel (pichani), katika kipindii chote cha ujauzito wake. Lakini kwa neema za Mungu, Asubuhi ya Mei 21.2015, staa huyo aliweza kuifungulia dunia kwa kumleta mtoto wa kike.

Hata hivyo, Mtoto huyo tayari jina lake limeshajulikana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani