Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT: NINGETAKA MTOTO MWEUPE, NINGEZAA NA MZUNGU

Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa na mzazi mwenzie pamoja na mtoto wao. Imelda mtema Sawasawa! Katika kuonesha kuwa amechoshwa na manenomaneno, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa watu wanaosema mwanaye Cookie ni mweusi ndiyo maana hamuoneshi, hawapo sawa kwani angetaka mtoto mweupe angezaa na Mzungu. Akizungumza na gazeti hili wikiendi iliyopita, Aunt alisema kuwa kuna watu hawana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Aunty Ezekiel: Ningetaka mtoto mweupe ningezaa na mzungu

auntezekiel1NA JULIET MORI (TUDARCO)

MSANII wa Bongo Movie anayetambulika kwa jina la Aunty Ezekiel amewajia juu mashabiki wake wanaomuongelea vibaya mtoto aliyezaa na mnenguaji wa Diamond Platnumz, Mozee Iyobo.

Aunty Ezekiel aliandika katika mtandao wa jamii kwamba amesikitishwa na namna baadhi ya mashabiki wake wanavyong’ang’ania aweke picha ya mtoto wake anayetambulika kwa jina la Cookie.

“Kuweka uso wa mwanangu mtandaoni ni hiari yangu, msilazimishe, mwanangu ni mweusi sana au ana chongo siwezi...

 

10 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Staa wa filamu nchini, Aunt Ezekiel. Imelda Mtema, Dar es Salaam
STAA wa filamu nchini, Aunt Ezekiel amebahatika kupata mtoto wa kike kwa kujifungua salama, jana mchana katika hospitali binafsi iliyopo Mbezi jijini Dar, baada ya kufanyiwa upasuaji. Akizungumza huku akiwa mwenye furaha, Aunt alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa kila jambo kwa kuwa yeye ndiye muweza na aliyefanikisha safari yake hiyo salama, hivyo anamshukuru...

 

9 years ago

GPL

KANISA LAMGOMEA KUMBATIZA MTOTO WA AUNT

MASHARTI! Kanisa Katoliki limemzuia staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel kumbatiza mwanaye kutokana na kutokidhi matakwa ya kanisa.Tukio hilo limetokea hivi karibuni mara baada ya mwigizaji huyo ambaye imani yake ni ya Kiislamu, kutaka kumbatiza mwanaye huyo ambaye baba yake ( Moze Iyobo) ni Mkatoliki. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1gY7C2F

 

9 years ago

GPL

IYOBO AKUBALI KUMUACHIA MTOTO MUME WA AUNT

Shani Ramadhani
MAKUBWA! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo amekubali kuruhusu mtoto aliyezaa na mwigizaji Aunt Ezekiel achukuliwe na mume wa mwigizaji huyo, Sunday Demonte aliyeko jijini Abu Dhabi akitumikia kifungo cha msala wa madawa ya kulevya. Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo akiwa na mzazi mwenzie  Aunt Ezekiel. Iyobo ametoa kauli hiyo mara baada ya Sunday ambaye imeelezwa kuwa anaweza...

 

11 years ago

GPL

MIAKA 2 YA NDOA; AUNT EZEKIEL AANZA KUSAKA MTOTO

MWIGIZAJI nguli katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel (pichani) anadaiwa kuanza kusaka mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte. Muigizaji nguli wa tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel akipozi. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Aunt, siku si nyingi staa huyo atakwenda kuweka makazi ya muda kwa mumewe Dubai hadi atakapopata ujauzito. Akizungumza na Amani hivi karibuni, rafiki huyo ambaye aliomba jina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani