Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aunty Ezekiel: Ningetaka mtoto mweupe ningezaa na mzungu

auntezekiel1NA JULIET MORI (TUDARCO)

MSANII wa Bongo Movie anayetambulika kwa jina la Aunty Ezekiel amewajia juu mashabiki wake wanaomuongelea vibaya mtoto aliyezaa na mnenguaji wa Diamond Platnumz, Mozee Iyobo.

Aunty Ezekiel aliandika katika mtandao wa jamii kwamba amesikitishwa na namna baadhi ya mashabiki wake wanavyong’ang’ania aweke picha ya mtoto wake anayetambulika kwa jina la Cookie.

“Kuweka uso wa mwanangu mtandaoni ni hiari yangu, msilazimishe, mwanangu ni mweusi sana au ana chongo siwezi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

AUNT: NINGETAKA MTOTO MWEUPE, NINGEZAA NA MZUNGU

Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa na mzazi mwenzie pamoja na mtoto wao. Imelda mtema Sawasawa! Katika kuonesha kuwa amechoshwa na manenomaneno, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa watu wanaosema mwanaye Cookie ni mweusi ndiyo maana hamuoneshi, hawapo sawa kwani angetaka mtoto mweupe angezaa na Mzungu. Akizungumza na gazeti hili wikiendi iliyopita, Aunt alisema kuwa kuna watu hawana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Cassim Mganga, Aunty Ezekiel watembelea mjengo mweupe, Aunty asaini kitabu ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, Dc

IMG_5858

Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.

 Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC  Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.  Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC.  Cassim Mganga akipata picha nje ya mjengo mweupe wa Obama

Aunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama.

IMG_5896

Shabiki akipata picha...

 

10 years ago

Michuzi

CASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNTY ATIA SAINII KITABU UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, WASHINGTON, DC



 Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014. Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga  Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunty Ezekiel Ajifungua Mtoto wa Kike, Ampajina la ‘Cookie’

Staa wa Bongo Movies, Aunty Ezekiel amejifungua mtoto wa kike siku ya Alhamis May 21. Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni dancer wa Diamond aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie.

Aunty ameshare habari hiyo na mashabiki wake wa Instagram:

“Amin ktk Mungu ndio Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka Hakuna mganga wala Mchawi pasipo Mungu.Ahsante Mungu wang kwa kunikabidhi zawadi yang Asubuhi jana tar 21-05-2015 Muache yy atende kwani ndio nguzo yetu sote Nasema Ahsante tena...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Huyu Hapa ‘Cookie’ Mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo

Staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel ame ‘share’ nasi  picha hii kwenye ukurasa wake mtandaoni akiwa na mzazi mwenzie, Mose Iyobo pamoja na mtoto wao waliompa jina la COOKIE

"La Family @cookie_la_princessa at hosp Sio kwa Ubusy huo looh! Watu na Cookie zao"-Aunty ameabika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.

Mzee wa Ubuyu

 

10 years ago

Mwananchi

Aunty Ezekiel afunguka

Mwigizaji wa filamu nchini, Aunty Ezekiel amekanusha uvumi ulioenea kuwa alikwenda nchini Marekani akifuatana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu .

 

10 years ago

CloudsFM

AUNTY EZEKIEL MJAMZITO?

Habari zimeenea kuwa staa wa filamu za Kibongo,Aunty Ezekiel kuwa ni mjamzito,kupitia mtandao wa Instagram baadhi ya mashabiki wake wamekuwa wakimuuliza kuwa kama ni mjamzito kutokana na muonekano wa tumbo lake kwa sasa kuwa ni kubwa kama linavyoonekana kwenye picha wakati akimlisha keki msanii mwenzake JB wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa.Baadhi ya maswali yalikuwa hivi: mamibeuty wow mum kijacho look gud my dia congrlnt@auntyezekiel jweekendy_girl Mbona km mama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani