KANYE WEST AFUNGUKA KWA NINI HATABASAMU
![](http://api.ning.com:80/files/GvFfwHMN-v4GNv9laZ67Inmog0sdXjMsh2yZ6qBJoH03ZzoM-sMmAhCDc4l5YYYsxTLmy1R6PLZ3Pybx8*VPXp*I0QupoZIr/kanye.jpg?width=650)
Rapa wa kimataifa toka nchini Marekani, Kanye West. Rapa wa kimataifa toka nchini Marekani, Kanye West amefungukia sababu inayomfanya asipende kutabasamu hasa akiweka pozi mbele ya mapaparazi na kudaiwa kuwa siyo kwamba hana furaha. Kwa mujibu wa Mtandao wa E! News, Kanye West alisema kuwa mara nyingi akitazama picha za watu wakiwa wamevaa vizuri hugundua hawatabasamu kwa sababu picha zao haziwi poa wakitabasamu. “Hata...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West
9 years ago
Bongo505 Oct
Nimewasamehe Wiz Khalifa na Kanye West kwa matusi waliyonitukana — Amber Rose
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Ifahamu stori iliyomkutanisha D’Banj na Kanye West mpaka kutengenezwa kwa ‘Oliver Twist’!
Kati ya ngoma kubwa za staa wa muziki kutoka Nigeria, D’Banj huwezi kuacha kuitaja hit song ya Oliver Twist, ngoma ya kwanza ya D’Banj chini ya lebo ya G.O.O.D Music, lebo ya muziki inayomilikiwa na rapper Kanye West. Nimekutana na interview ya D’Banj na jarida la Forbes Africa toleo la mwezi December 2015 na kikubwa […]
The post Ifahamu stori iliyomkutanisha D’Banj na Kanye West mpaka kutengenezwa kwa ‘Oliver Twist’! appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo28 Feb
ALLEN KINGDOM ARTIST MWENYE ASILI YA TANZANIA KWA MAMA APEWA SHAVU NA KANYE WEST
![](http://stmedia.startribune.com/images/630*456/chrisr_1424903132_AllanKanye.png)
11 years ago
CloudsFM29 May
KIM KARDASHIAN APOST PICHA ZAKE ZA HARUSI NA KANYE WEST KWA MARA YA KWANZA KWENYE INSTAGRAM
Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki iliyopita huko Forte di Belvedere Florence, Italia.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhKaa56BSVUmkSPKUd140T3EDRwyMw0tXzmVOa*fafNGSi8Se*Lzm27nlU45Aq3G1dXHiohZ9xCzf9-GfD9bII3d5MS2TMhF/HARUSI20.jpg?width=650)
HARUSI YA KANYE WEST KUFURU
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Kanye West aomba Msamaha