Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ifahamu stori iliyomkutanisha D’Banj na Kanye West mpaka kutengenezwa kwa ‘Oliver Twist’!

Kati ya ngoma kubwa za staa wa muziki kutoka Nigeria, D’Banj huwezi kuacha kuitaja hit song ya Oliver Twist, ngoma ya kwanza ya D’Banj chini ya lebo ya G.O.O.D Music, lebo ya muziki inayomilikiwa na rapper Kanye West. Nimekutana na interview ya D’Banj na jarida la Forbes Africa toleo la mwezi December 2015 na kikubwa […]

The post Ifahamu stori iliyomkutanisha D’Banj na Kanye West mpaka kutengenezwa kwa ‘Oliver Twist’! appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hata Kim Kardashian hakujua kama Kanye West ana mpango wa kugombea urais 2020 mpaka alipotangaza kwenye VMA

Taarifa za rapper Kanye West kutaka kugombea urais wa Marekani ifikapo mwaka 2020, hazikuwashangaza watazamaji tu, bali hata mkewe Kim Kardashian hakuwa anafahamu mpaka aliposikia mumewe Kanye akitangaza kwenye tuzo za VMA. Akizungumza kwenye kipindi cha The Ellen DeGeneres Show, mama kijacho Kim K amesema anaamini kuwa mume wake Kanye yuko serious katika uamuzi huo […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West

Kim Kardashian West na Kanye West wamempa mtoto wao wa pili jina Saint West.

 

10 years ago

GPL

KANYE WEST AFUNGUKA KWA NINI HATABASAMU

Rapa wa kimataifa toka nchini Marekani, Kanye West. Rapa wa kimataifa toka nchini Marekani, Kanye West amefungukia sababu inayomfanya asipende kutabasamu hasa akiweka pozi mbele ya mapaparazi na kudaiwa kuwa siyo kwamba hana furaha. Kwa mujibu wa Mtandao wa E! News, Kanye West  alisema kuwa mara nyingi akitazama picha za watu wakiwa wamevaa vizuri hugundua hawatabasamu kwa sababu picha zao haziwi poa wakitabasamu. “Hata...

 

9 years ago

Bongo5

Nimewasamehe Wiz Khalifa na Kanye West kwa matusi waliyonitukana — Amber Rose

Mrembo na mke wa zamani wa Wiz Khalifa, Amber Rose alijikuta akibubujikwa na machozi wakati akiongea na umati wa watu kwenye tukio la SlutWalk jijini Los Angeles, Jumamosi iliyopita. Rose, 31, aliandaa tukio hilo ambalo pia mama yake alimuunga mkono ambapo kwenye hotuba yake aliuambia umati kuwa imemchukua muda mrefu kuweza kuwasamehe maex wake Kanye […]

 

10 years ago

Vijimambo

ALLEN KINGDOM ARTIST MWENYE ASILI YA TANZANIA KWA MAMA APEWA SHAVU NA KANYE WEST

The 21-year-old Woodbury High graduate joined West on stage at the Brit awards in London earlier today to debut the song.Allan Kingdom, right, posted this photo on his Facebook page from the Brit Awards earlier today.Looks like Allan Kingdom’s big break has come in the United Kingdom. The St. Paul rapper was prominently featured on stage with Kanye West at the Brit Awards in London on Wednesday night (mid-day our time), and he also is a guest star in the new single West debuted at the show,...

 

11 years ago

CloudsFM

KIM KARDASHIAN APOST PICHA ZAKE ZA HARUSI NA KANYE WEST KWA MARA YA KWANZA KWENYE INSTAGRAM

Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki iliyopita huko Forte di Belvedere Florence, Italia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanye West aomba Msamaha

Kanye West ametekeleza matakwa ya kesi iliyokuwa ikimkabilia ya kumpiga paparazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani