Karatasi za chooni zafichia wahamiaji
NA WILIUM PAUL, MOSHI
POLISI mkoani Kilimanjaro inawashikilia wahamiaji haramu 52 ambao ni raia wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha sheria wakitokea Kenya kwenda Malawi na baadaye Afrika Kusini.
Wahamiaji hao waliokamatwa jana saa 8.23 za asubuhi wakati askari wakiwa doria katika eneo la Changbay, barabara kuu ya Moshi ñ Arusha wilayani Moshi, walikuwa raia 44 wa Ethiopia.
Kamanda Polisi mkoani hapa, Geofrey Kamwela, alisema raia hao walikuwa wakisafirishwa kwenye gari aina ya...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Coronavirus : Hofu yawafanya kununua maburungutu mengi ya karatasi za chooni
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Coronavirus: Wezi waliokuwa wamejihami waiba mamia ya karatasi za chooni Hong Kong
11 years ago
Habarileo07 Feb
Mwalimu ajinyonga chooni
MWALIMU wa Shule ya Msingi Mwang’osha Kata ya Nyamalongo wilayani Shinyanga, Christipian Mafuru (24) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa madai ya msongo wa mawazo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hebKFxrqqqSQmzdB3db-iJysOm10XVL85mEIS9an0iVGSTjlhO6CFEr7VnIGfLB1UNyyArOwY8IL7gFpgEgr1jW/4.jpg?width=650)
WASTARA AANGUKA CHOONI
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Mahabusu ajinyonga chooni
MAHABUSU, Vumi Elias (30), amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia tambala la kupigia deki ndani ya choo cha mahabusu ya Kituo cha Polisi Tunduma. Elias, mkazi wa Maporomoko-Tunduma, aliyetuhumiwa...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Atupwa chooni baada ya kuzaliwa
WATOTO watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la mtoto wa siku moja kutupwa chooni na mama yake, Mwacheni Amani (18). Mwacheni mkazi wa Idweli wilayani Rungwe, Mbeya alimtupa mtoto...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Aanguka chooni, afariki dunia
MKAZI wa Kigogo, Anthony Mbezi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 70-75 amefariki dunia juzi baada ya kuanguka chooni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema...
11 years ago
Habarileo21 Mar
Mwanamke atupa kichanga chooni
WATOTO wawili wachanga wamekufa katika matukio mawili tofauti yaliyotokea mkoani hapa, likiwemo la mmoja kutupwa chooni na mama mzazi mara ya baada ya kuzaliwa.
11 years ago
Habarileo13 Mar
Msichana ajifungua gesti chooni
MKAZI wa kitongoji cha Sogea katika Mji mdogo wa Tunduma wilayani Momba, Pendo Lyala (18) amejifungua mtoto katika choo cha nyumba ya kulala wageni. Pendo alijifungua Machi 10 mwaka huu saa 4:00 katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Kiswahili , iliyopo nyuma ya Shule ya Msingi Mwaka, mkabala na barabara kuu iendayo Sumbawanga mkoani Rukwa.