Coronavirus : Hofu yawafanya kununua maburungutu mengi ya karatasi za chooni
Karatasi za chooni zimekuwa bidhaa adimu Australia na kufanya kugombewa madukani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Coronavirus: Wezi waliokuwa wamejihami waiba mamia ya karatasi za chooni Hong Kong
Karatasi za chooni zimekuwa nadra sana wakati wasiwasi wa mlipuko wa virusi vya corona ukiongezeka.
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Apr
Karatasi za chooni zafichia wahamiaji
NA WILIUM PAUL, MOSHI
POLISI mkoani Kilimanjaro inawashikilia wahamiaji haramu 52 ambao ni raia wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha sheria wakitokea Kenya kwenda Malawi na baadaye Afrika Kusini.
Wahamiaji hao waliokamatwa jana saa 8.23 za asubuhi wakati askari wakiwa doria katika eneo la Changbay, barabara kuu ya Moshi ñ Arusha wilayani Moshi, walikuwa raia 44 wa Ethiopia.
Kamanda Polisi mkoani hapa, Geofrey Kamwela, alisema raia hao walikuwa wakisafirishwa kwenye gari aina ya...
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Coronavirus: Je unawezaje kununua chakula na bidhaa madukani kwa usalama?
Wataalamu wanatoa ushauri kuhusu namna unavyoweza kuepuka maambukizi ya virusi vya corona unaponunua chakula.
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Coronavirus: Kuna haja ya kununua chakula kingi kujiandaa na marufuku ya kutotoka nje?
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu manunuzi ya chakula kingi hasa katika uhifadhi wake katika maeneo yenye miundombinu mibaya ya uhifadhi, pia hali ya uchumi.
10 years ago
Mwananchi01 Jun
NYANZA: Shida yawafanya kumkumbuka Muhongo
>Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Butiama mkoani Mara, limemwomba Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene kuingilia kati mradi wa usambazaji umeme vijijini uliokwama tangu alipoondolewa mtangulizi wake, Profesa Sospeter Muhongo.
5 years ago
BBCSwahili23 Mar
Olimpiki mbioni kuahirishwa kwa hofu ya Coronavirus
Japan yakiri inaweza kuahirisha Olimpiki kutokana na mlipuko wa virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili24 Mar
Michezo ya Olimpiki yaahirishwa kwa hofu ya Coronavirus
Waandalizi wa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020, ambayo ilikuwa ing'oe nanga Julai 24, wamekubali kuahirisha michezo hiyo ya kimataifa kwa mwaka mmoja kutokana na na janga la coronavirus.
5 years ago
BBCSwahili20 Mar
Coronavirus: Jinsi wahalifu wa mtandaoni wanavyoongeza hofu katika jamii
Barua pepe tano ambazo wahalifu wa mtandaoni wamekuwa wanatumia kuwalaghai watu kuhusu corona.
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Coronavirus: Jinsi utalii unavyoathiriwa na hofu ya virusi vya corona Zanzibar
Kisiwa cha Zanzibar hakina kisa chochote cha virusi vya ugonjwa wa corona licha ya kwamba uchumi wake umeathirika pakubwa kutokana na watalii kuwa na hofu kuhusu janga hilo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania