Coronavirus: Jinsi wahalifu wa mtandaoni wanavyoongeza hofu katika jamii
Barua pepe tano ambazo wahalifu wa mtandaoni wamekuwa wanatumia kuwalaghai watu kuhusu corona.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Coronavirus: Jinsi utalii unavyoathiriwa na hofu ya virusi vya corona Zanzibar
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Je, unajua jinsi ya kuishi na kukubalika katika jamii?
9 years ago
Dewji Blog21 Nov
Jinsi Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ulivyosaidia kujikwamua katika umasikini Tanzania
Mmoja wa wanufaikaji wa mradi wa kunusuru kaya maskini mkazi wa kijiji cha Mwanga tarafa ya Nduguti wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Agnes Samson,akionyesha mradi wa Mbuzi aliouanzisha kwa fedha za TASAF. Nyuma yake ni Mratibu wa TASAF wilaya ya Mkalama, Athumani Jumanne Dulle.
Watanzania wamekuwa wakipambana kila siku ili kijikwamua kutoka katika umasikini uliokithili wa kukosa hata milo mitatu na mahitaji muhimu kama afya , maji , malazi , mavazi na elimu. Serikali ya awamu ya nne...
11 years ago
GPLREDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA
5 years ago
BBCSwahili20 Mar
Coronavirus: Wahalifu wageukia wizi wa barakoa
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Jamii yaaswa kununua bidhaa mtandaoni
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
JAMII imetakiwa kuendelea kuwa na imani na wafanyabiashara wanaouza bidhaa kupitia mitandao kwa kuwa ni moja ya njia rahisi ya kuwafikia wateja waliokuwa katika maeneo mbalimbali.
Akizungumza Dar es Salaam jana katika warsha ya wauzaji wa magari kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, Meneja wa Masoko wa Mtandao wa Cheki kuwakutanisha wafanyabiashara wa magari Tanzania, Mori Bencus, alisema wananchi wana tatizo kubwa la kutowaamini wafanyabiashara wa mitandao na...
5 years ago
BBCSwahili24 May
Jinsi meli tano za mafuta zilizokuwa zikielekea Venezuela zilivyozua hofu kati ya Marekani na Iran
10 years ago
StarTV18 Feb
Utekaji Albino, Hofu yaendelea kutanda kwa jamii.
Na Rogers Willium,
Mwanza.
Wakati jeshi la polisi nchini likihangaika kumtafuta mtoto Pendo Emanuel mwenye ulemavu wa Ngozi baada ya kutekwa na watu wasiofahamika desemba 27 mwaka jana, mtoto mwingine wa mwaka mmoja Yohana Bahati ametekwa mkoani Geita.
Mtoto huyo ametekwa usiku wa kuamkia siku ya jumatatu nyumbani kwao katika kijiji cha Ilelema Wilaya ya Chato na watu wasiofahamika.
Matukio yote haya yanafanyika ndani ya siku 50 na hivyo kuleta hofu katika jamii hususan kwa watu...