Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Olimpiki mbioni kuahirishwa kwa hofu ya Coronavirus

Japan yakiri inaweza kuahirisha Olimpiki kutokana na mlipuko wa virusi vya corona

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Olimpiki yaahirishwa kwa hofu ya Coronavirus

Waandalizi wa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020, ambayo ilikuwa ing'oe nanga Julai 24, wamekubali kuahirisha michezo hiyo ya kimataifa kwa mwaka mmoja kutokana na na janga la coronavirus.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Ubaguzi dhidi ya raia wa Kigeni Afrika Mashariki kwa hofu ya virusi

Huku maambukizi ya Corona yakiendelea kuongezeka Afrika, hofu ya janga hili linalokumba dunia limepelekea ubaguzi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Mashariki.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mechi za Ligi ya soka ya England kuahirishwa hadi tarehe 3 Aprili

Mechi za Ligi kuu ya soka ya England zitaahirishwa hadi tarehe 4 Aprili kufuatia baadhi ya wachezaji wa ligi hio kupatikana na maambukizi ya virusi vya Corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Zaidi ya watalii 1700 wawekwa karantini melini kwa hofu ya maambukizi Afrika Kusini

Zaidi ya watu 1,700 wamewekwa karantini kwenye meli ya kitalii na meli ya kubeba mizigo kwenye pwani ya Cape Town nchini Afrika Kusini kwa hofu kwamba baadhi yao wameambukizwa na virusi vya corona.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA YA KUAHIRISHWA KWA MKUTANO WA CHADEMA

Taarifa inatolewa kwa wapenzi, mashabiki, wafuasi na wanachama wa CHADEMA, wanaUKAWA na umma wa Watanzania wote wapenda mabadiliko kwa ujumla kuhusu mkutano mkubwa wa hadhara wa kesho katika Viwanja vya Jangwani, jijini Dar Es Salaam ambao umeshatangazwa kwa njia mbalimbali za upashanaji habari, umeahirishwa hadi hapo maelekezo na utaratibu mwingine utakapotolewa baadae.Ni vyema kuwataarifu

 

10 years ago

BBCSwahili

Angel Eaton yu tayari kwa Olimpiki 2016

Bingwa wa michuano ya gofu ya wazi ya Uganda, Mtanzania Angel Eaton amesema yuko tayari kwa ajili ya Olimpiki ya mwakani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jinsi wahalifu wa mtandaoni wanavyoongeza hofu katika jamii

Barua pepe tano ambazo wahalifu wa mtandaoni wamekuwa wanatumia kuwalaghai watu kuhusu corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus : Hofu yawafanya kununua maburungutu mengi ya karatasi za chooni

Karatasi za chooni zimekuwa bidhaa adimu Australia na kufanya kugombewa madukani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani