KATIBA MPYA NA WANAWAKE!
"Ikipatikana Katiba yenye usawa wa kijinsia, tatizo la wanawake wanaojiuza litakwisha!" Hayo ni maneno ya mwanamke mpiganaji Bi Sophia Jonas alipozungumza na Super Woman Joyce Kiria kupitia kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na EATV kila Jumanne saa tatu kamili usiku.
Fuatilia kwa makini mjadala huu kwa kutazama video hii hapa
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi25 Feb
HARAKATI ZA BUNGE LA KATIBA: WANAWAKE NA RASIMU YA KATIBA MPYA
Tazama video hapa...
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0362.jpg?width=650)
MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAZUNGUMZIA MCHAKATO KATIBA MPYA
11 years ago
Michuzi19 Jul
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wazungumzia Katiba Mpya
![Mwakilishi kutoka Asasi ya Wanawake ya Ulingo, Dk. Avemaria Semakafu (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0362.jpg)
![Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka taasisi moja wapo inayounda Mtandao wa Wanawake na Katiba akiwasilisha mada katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0318.jpg)
![Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano na baadhi ya wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0294.jpg)
![Mmoja wa wahariri wa vyombo vya habari wakiuliza swali kwenye mkutano na baadhi ya wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0336.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6EOHkW_13kk/Uy3ZA6HM2XI/AAAAAAAFVsA/25uSffzyo6A/s72-c/unnamed+(55).jpg)
TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Wajadili masuala ya wanawake kwenye katiba mpya
WAWAKILISHI wa mtandao wa wanawake na katiba wamekutana na wahariri wa vyombo vya habari nchini na kujadili masuala muhimu ya wanawake katika rasimu ya pili ya katiba mpya. Kwa mujibu...
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Wanawake wataka hamisini kwa hamsini Katiba Mpya ijayo
Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akiwahutubia baadhi ya wanawake na wanaume waliohudhuria semina maalum iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya uongozi, utatuzi wa migogoro pamoja na harakati za uchaguzi iliyofanyika jana 13 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
Katika juhudi za kuleta usawa wa kijinsia na kuinua hadhi ya wanawake, Serikali imefanya jitihada kubwa katika masuala ya kiuchumi, kisiasa na kijamii...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Katiba mpya ifungue urais, uwaziri mkuu kwa wanawake
SITAKI kumtaja mtu katika makala hii, lakini najua wapo baadhi ya viongozi haijalishi wamestaafu au wako madarakani, ambao wameonyesha namna walivyo mbumbumbu katika masuala ya siasa, uongozi, haki za binadamu...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fsQwoxe5BTA/U8gvYerQWpI/AAAAAAAA9qg/Rcd2cfwYkao/s72-c/IMG_1901.jpg)
WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-fsQwoxe5BTA/U8gvYerQWpI/AAAAAAAA9qg/Rcd2cfwYkao/s1600/IMG_1901.jpg)
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
![](http://4.bp.blogspot.com/-sq5B5OozAMU/U8gvn-BR5AI/AAAAAAAA9rI/vAXGlkoA78g/s1600/IMG_1950.jpg)
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
![](http://3.bp.blogspot.com/-M28s6kVPyoc/U8gviRciOpI/AAAAAAAA9q4/r0qaKcHaND8/s1600/IMG_1936.jpg)
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-McpOCDMYJC8/U8gvfVKJWzI/AAAAAAAA9qw/brBrfUklC2g/s1600/IMG_1920.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LEOwJM6ut50/U8gvb6GfPPI/AAAAAAAA9qo/4nE-b3qltBc/s1600/IMG_1910.jpg)
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...