Katibu Mkuu EAC awapa somo wahandisi
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Richard Sezibera amewataka wahandisi wa nchi wanachama, kuhakikisha wanatumia taaluma yao kuboresha maisha ya wananchi wa vijijini kwa kutengeneza miundombinu ya umeme wa nishati ya jua kwa bei nafuu na kuwapatia maji safi na salama.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEIF AWAPA SOMO WALIOONYESHA NIA YA KUWANIA UBUNGE, UWAKILISHI NA UDIWANI UNGUJA
Na: Hassan Hamad, OMKR
Katibu Mkuu wa Chama Cha...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/XQNHuvzYVUY/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WhJZfZwuU-o/VBbqsgleGCI/AAAAAAAGjy0/uHhoxTEKD3A/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
KATIBU MKUU UTUMISHI ATOA SOMO KWA WATUMISHI WA MKOA WA MWANZA
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi George Yambeshi, amewataka watumishi wa Umma wa Sekretarieti ya mkoa wa Mwanza kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, kanuni na miongozo iliyopo ili kuleta tija katika ufanisi wa kazi zao.
Ameyasema hayo wakati alipokutana na watunishi wa sekretarieti ya Mkoa wa Mwanza kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mwanza hii leo alipokuwa ziarani mkoani humo kwa shughuli za kijamii na kuamua kutumia fursa hiyo kukutana na watumishi...
10 years ago
Habarileo19 Nov
Katibu Mkuu asifu mafanikio ya EAC
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki, Joyce Mapunjo amewataka Watanzania kuondoa hofu ya uwepo wa Tanzania kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwani kuna fursa nyingi ambazo nchi inazipata ikiwemo ile ya biashara.
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Msechu awapa somo Wakinga
WENYEJI wa Makete mkoani Njombe wanaoishi sehemu mbalimbali nchini, wamekumbushwa wajibu waliyonao katika kuiendeleza Wilaya hiyo ili ikue kiuchumi. Wito huo ulitolewa hivi karibuni na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba...
10 years ago
Dewji Blog21 Aug
Mwigulu awapa somo wafanyabiashara
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akifungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) leo jijini Dar es salaam.
Na Mwandishi wetu
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, amewataka wafanyabiasha nchini, kutengeneza miradi ambayo inatambulika ili iwe rahisi kukopeshwa fedha.
Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa kufungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo Mashariki na...
10 years ago
Habarileo12 Feb
Spika awapa somo wabunge
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Daniel Kidega amewataka wabunge na watunga Sheria kuwajibika, kushiriki kikamilifu katika maendeleo baada ya kuifikia ajenda ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia 2015.
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Kikwete awapa somo Wamarekani
Na mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi na wafanyabiashara wa Marekani kujifunza kutoka kwa wenzao wa Bara la Asia, ambao wameongeza uwekezaji barani Afrika.
Amesema hatua hiyo inatokana na kuwa wawekezaji hao wanapata taarifa sahihi na za ukweli kupitia vyombo mbalimbali.
Aidha, Rais Kikwete amesema pingamizi kubwa la kufanya biashara kati ya Marekani na Afrika sio tena Bahari ya Atlantic ama umbali, bali ni maono hasi yanayojengwa na vyombo vya habari vya Marekani kuhusu...