Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu Mkuu mpya Afya aanza na Muhimbili

>Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando ameutaka uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kupitia upya uamuzi wa kupandisha bei za baadhi ya huduma zao ili kuangalia namna ya kupunguza adha kwa wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AMPOKEA KATIBU MKUU MPYA WA AFYA PROFESA MABELE MCHEMBE LEO



Katibu Mkuu Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto-Idara Kuu Afya Prof. Mabele Mchembe awasili kwenye ofisi ndogo ya wizara iliyopo jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Waziri wa wizara hiyo Mh.Ummy Mwalimu

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Katibu Mkuu mpya Mambo ya Ndani aanza kazi rasmi na kuwataka watumishi kutekeleza kauli mbiu ya “Hapa Kazi Tu”

Pix 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi  mara baada ya kuanza kazi rasmi  katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE,  Obedi Mbaga.

Pix 2

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AANZA KAZI RASMI NA KUWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA KAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU”

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi  mara baada ya kuanza kazi rasmi  katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE,  Obedi Mbaga.

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano kati...

 

9 years ago

Mwananchi

Katibu mkuu aanza kazi kwa mgomo TRL

Katibu Mkuu wa Uchukuzi, Dk Leonard Chamuliho ameingia ofisini kwa mara ya kwanza jana na kukabiliana na mgomo wa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wanaoshinikiza kulipwa stahiki zao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu UVCCM aanza ziara ya siku 14 kanda ya ziwa

1

Katibu Mkuu wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ndugu Sixtus Mapunda (pichani) anategemea kufanya ziara ya siku na nne (14) katika mikoa minne ya Kanda ya Ziwa, ambayo ni Tabora, Shinyanga, Geita na Kagera kuanzia kesho tarehe 12st Dec 2014.

Ziara hii ya kikazi ya Katibu Mkuu inalenga kukagua na kuhimiza ujenzi na uimara wa jumuia ya Vijana katika maeneo husika lakini pia kushiriki kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE LEO

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.



 Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Morogoro waliojitokeza kuwasalimu wakati wa safari ya kuelekea Kagera.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi waliojitokeza kwenye kituo cha mabasi mjini Morogoro maarufu kama Msamvu ambapo aliwaambia wananchi hao...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA MKOA WA KILIMANJARO

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikatisha kwenye migomba alipokuwa akikagua mifereji ya inayotiririsha maji kuelekea kwenye mashamba ya ndizi akiongozana na Mh. Agrey Mwanri.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amewasili katika jimbo la Siha, katika ziara yake ya kikazi yenye lengo la kukagua kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo katika jimbo la Siha imetekelezwa kwa asilimia kubwa ikisimamiwa na Mbunge wa jimbo hilo na Naibu Waziri wa...

 

10 years ago

GPL

DKT. SHEIN AWAAPISHA KAIMU JAJI MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU AFYA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkusa Issack Sepetu kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Halima  Maulid Salum kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini… ...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA YA SIKU 16 YA UNGUJA NA PEMBA.

 Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana pamoja na wanachama wa CCM wakiwemo na Wananchi kwa pamoja wakishiriki katika shughuli ya za uchimbaji na utandazaji wa mabomba ya mradi wa maji safi na salama katika shehia ya Kilimani,kwenye jimbo la Mjimkongwe.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipata maelezo mafupi ndani ya chumba cha kufundishia Kompyuta katika kituo cha Vijana (Tanzania Youth Icon),cha kuwaendeleza na kuwawezesha katika masuala mbalimbali ikiwemo elimu,Ajira na Michezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani