Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI UMMY AMPOKEA KATIBU MKUU MPYA WA AFYA PROFESA MABELE MCHEMBE LEO



Katibu Mkuu Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto-Idara Kuu Afya Prof. Mabele Mchembe awasili kwenye ofisi ndogo ya wizara iliyopo jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Waziri wa wizara hiyo Mh.Ummy Mwalimu

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AKITETA NA KATIBU MKUU WAKE

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto)  akiteta na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt.Zainab Chaula katika Kikao Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu cha kujadili ugonjwa wa Corona (COVID-19) kilichoongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Machi 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Ummy Mwalimu avamia Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga, kukagua utoaji wa huduma za afya leo

IMG-20151220-WA0011

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wahudumu wa afya (jina lake halikuweza kupatikana kiurahisi) wa dirisha la dawa katika Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga alipofanya ziara ya kushtukiza mchana wa leo Disemba 20, 2015.

-Atoa wiki mbili wawe wamefunga mashine ya kukusanya mapato kwa njia ya Kielektroniki ili kudhitibiti upotevu wa mapato yanayotokana na wananchi kuchangia huduma za afya.

IMG-20151220-WA0012

Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU KATIKA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO MKOANI TANGA, KUKAGUA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA LEO

IMG-20151220-WA0012Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wakina mama anayemhudumia mwanae katika wodi ya watoto Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga alipofanya ziara ya kushtukiza leo mchana Disemba 20, 2015.IMG-20151220-WA0019Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akimsikiliza mmoja wa akina mama aliyelazwa kwenye wodi ya wazazi wakati wa ziara ya kushtikiza aliyoifanya mchana wa leo Desemba 20, 2015 katika Hospitali ...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI JENISTA MHAGAMA NA NAIBU MAWAZIRI MAVUNDE NA POSSI

si11Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. si12Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde  wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa...

 

10 years ago

GPL

DKT. SHEIN AWAAPISHA KAIMU JAJI MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU AFYA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mkusa Issack Sepetu kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Halima  Maulid Salum kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Katibu Mkuu mpya Afya aanza na Muhimbili

>Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando ameutaka uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kupitia upya uamuzi wa kupandisha bei za baadhi ya huduma zao ili kuangalia namna ya kupunguza adha kwa wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AMPOKEA MAKAMU WA RAIS WA CHINA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Makamu wa rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Juni 21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini. Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Makamu wa rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Juni 21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Capt.George Mkuchika.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMTEMBELEA MAMA YAKE MZAZI WAZIRI MKUU PINDA MKOANI KATAVI LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlela mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu,Mh Pinda, mapema mchana huu nyumbani kwake,Katika kijiji cha Kibaoni Wilaya Mlele mkoani Katavi,alipokwenda kumtembelea na kumjulia hali.Kinana yuko Mkoani Katavi kwa ziara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani