Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AILAUMU BENKI YA DUNIA KWA KUTOZISAIDIA NCHI MASIKINI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kinana ailaumu Benki ya Dunia

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameilaumu Benki ya Dunia kwa urasimu uliokithiri na sera mbovu zinazokandamiza nchi masikini, badala ya kuzisaidia.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA KISHINDO WILAYANI LUSHOTO.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Lwandai kata ya Mlola ambapo aliwasisitiza wananchi hao kushiriki kazi za maendeleo na kujiunga kwa wingi kwenye mfuko wa Afya ya jamii.Umati wa wakazi wa kata ya Mlola wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akihutubia wananchi hao. Wazee Maarufu wa kijiji cha Lwandai wakifuatilia kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye anafanya ziara za kujenga na...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA TANGA KWA KISHINDO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wote waliohudhuria mkutano kwa kuwapingia mikono yote miwili.
 Wananchi nao hawakuwa nyuma kumpungia kiongozi wao.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwapungia mkono maelfu ya watu waliofurika kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana uliofanyika kwenye uwanja wa Tangamano.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Tanga mjini ambapo aliwaambia muda wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana ashuka milima ya Usambara kwa Baiskeli

01

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi mara baada ya kuwasili katika kata ya Mng’aro Lushoto mara baada ya kushuka milima ya Usambara huku akiendesha Baiskeli pamoja na Nape Nnauye na wananchi wengine wakati msafara wake ukielekea jimboni Mkinga wilaya ya Mkinga, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya mkoa wa Tanga akikagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010,...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA MAANDAMANO MAKUBWA JIMBO LA DONGE-MKOA WA KASKAZINI B.

 Katibu Mkuu Ndugu Kinana sambamba na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Ujumbe wake ukipokelewa na vijana wa CCM jimbo la Donge wakiongozwa na Mbunge wao Mh.Sadifa Juma Khamis,mapema leo alipokuwa akiwasili kwenye ofisi za CCM-Donge Mtambalike wilaya ya Kaskazini B.Katibu Mkuu Ndugu Kinana yupo katika ziara ya Visiwa vya Unguja na Pemba-Zanzibar akihimiza Uhai wa chama cha CCM na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010
 Pichani kulia ni Mbunge wa jimbo la Donge...

 

10 years ago

Michuzi

MSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA WAPOKELEWA KWA FARASI MIKOCHENI -WILAYA YA MOSHI VIJIJINI

 Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ukipokelewa kwa farasi wakati wakiwasili katika kata ya TPC kijiji cha Mikocheni wilaya ya Moshi Vijijni mapema leo asubuhi,tayari kwa kuanza ziara ya jimbo la Moshi Vijijini mkoa wa Kilimanjaro.Ndugu Kinana alizungumza na Wananchi wa kijiji hicho na kuzisikiliza matatizo yao,hasa suala la Ardhi.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wako mkoani Kilimanjaro katika ziara ya siku...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awasili Mkoani Iringa kwa ziara ya siku sita

2

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili mkoani Iringa kuanza ziara ya siku sita ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na kukagua uhai wa chama. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi, Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu na katikati ni Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWA NGELEJA LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifafanua jambo alipokuwa akihutubia umati wa watu waliofurika kumsikiliza  katika uwanja wa CCM Wilaya ya Sengerema ambapo aliwaambia wakazi hao Chama Cha Mapinduzi kitasimamia haki na misingi kwani ndio chama pekee kinachojali watu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo kwenye ziara ya Kukagua na kuimarisha uhai wa chama,Kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani