KINANA: BENKI YA DUNIA IPITIE UPYA SERA ZAKE KWENYE NCHI MASIKINI
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi26 Sep
5 years ago
BBCSwahili01 Apr
Coronavirus: Mamilioni ya watu watabaki masikini, Benki ya dunia yaonya
"Athari kubwa za kiuchumi zinaonekana kuathiri mataifa yote duniani na haziwezi kuzuilika”, Benki ya dunia yatoa angalizo.
9 years ago
MichuziBENKI YA POSTA YABORESHA ZAIDIN HUDUMA ZAKE, MTEJA ATATOA MAONI BILA KUANDIKA KWENYE KARATASI, NI "KUBOVYA TU" KWENYE MASHINEAKATHE
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi(wapili kulia), akihudumia wateja kwenye tawi la benki hiyo Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa Oktoba 16, 2015, kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja ya benki hiyo. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
NA K-VIS MEDIA
KATIKA kuhakikisha inatoa huduma bora kwa wateja wake hapa nchini, Benki ya Posta Tanzania, imeweka mashine maalum ambayo wateja wa benki hiyo wanaofika kupatiwa huduma watatoa...

Habarileo25 Sep
Kinana ailaumu Benki ya Dunia
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameilaumu Benki ya Dunia kwa urasimu uliokithiri na sera mbovu zinazokandamiza nchi masikini, badala ya kuzisaidia.
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Kinana sasa alia na Benki ya Dunia
 Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameilaumu Benki ya Dunia(WB) kwa urasimu na sera mbovu zinazokandamiza nchi masikini badala ya kuzisaidia.
10 years ago
VijimamboMkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika- Benki ya Dunia
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifuatilia kwa makini mkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika- Benki ya Dunia ambao umefanyika leo hapa mjini Washington DC.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akisoma nyaraka za mkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika- Benki ya Dunia ambao umefanyika leo hapa mjini Washington DC.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr....
10 years ago
MichuziMkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika- Benki ya Dunia waendelea leo
Mkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika hufanyika kila mwaka wakati wa mikutani ya Benki ya Dunia na IMF na unahusisha kundi la nchi za Benki ya Dunia ambazo zinapata mikopo nafuu kutoka IDA. IDA ni shirika au mfuko wa maendeleo kwa ajili ya kutoa mikopo nafuu kwa nchi zinazoendelea kwa kundi la Benki ya Dunia.
Katika mikutano hii wanazungumzia zaidi masuala ya sera za kibenki na mambo ya utawala kama vile ajira , uchaguzi wa wenyeviti wa mikutano hiyo na kamati mbalimbali. Mkutano huo...
Katika mikutano hii wanazungumzia zaidi masuala ya sera za kibenki na mambo ya utawala kama vile ajira , uchaguzi wa wenyeviti wa mikutano hiyo na kamati mbalimbali. Mkutano huo...
5 years ago
CCM BlogNCHI 20 ZENYE NGUVU KIUCHUMI WAKUBALIANA KUSAMEHE KWA MUDA MADENI YA NCHI MASIKINI DUNIANI ILI ZIWEZE KUKABILIANA NA CORONA
Wakuu wa nchi 20 zenye nguvu kiuchumi na zinazoinukia kiuchumi duniani, G20 wamekubaliana kusamehe kwa muda madeni ya nchi masikini duniani.
Mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa G20 wamesema wanaunga mkono kusimamisha kwa muda malipo ya madeni kwa nchi hizo ambazo zinahitaji kuvumiliwa.
Uamuzi huo umefikiwa jana katika mkutano wao uliofanyika kwa njia ya video.
Muda huo unaanza Mei Mosi hadi mwishoni mwa mwaka 2020 na deni kuu pamoja na malipo yote ya riba yatasimamishwa.
Mkurugenzi...

11 years ago
Mwananchi01 Apr
Nchi itaingia kwenye historia ya dunia
Bunge la Katiba limekamilisha kupitisha Kanuni za kuliongoza ambapo kura zote; ya wazi na ya siri, zitatumika kufikia uamuzi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania