Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchi itaingia kwenye historia ya dunia

Bunge la Katiba limekamilisha kupitisha Kanuni za kuliongoza ambapo kura zote; ya wazi na ya siri, zitatumika kufikia uamuzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maige adai kuwa na Serikali tatu nchi itaingia maajabu ya dunia

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Almas Maige amesema endapo wajumbe wa Bunge hilo watapitisha muundo wa Serikali tatu, nchi itaingia katika kitabu cha maajabu ya dunia cha Guiness Book of Records.

 

11 years ago

BBCSwahili

Historia ya kombe la dunia

Mihemko imeanza kushuhudiwa kabla ya kombe la dunia kuanza Brazil. Je unajua historia ya kombe hilo na baadhi ya wachezaji waliowakilisha Afrika?

 

10 years ago

BBCSwahili

Marta aweka historia kombe la dunia

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Brazil Marta Vieira da Silva almaarufu Marta ameweka historia ya kuwa mfungaji bora

 

11 years ago

GPL

MIROSLAV KLOSE AWEKA HISTORIA KOMBE LA DUNIA

Miroslav Josef Klose akishangilia baada ya kutupia bao la pili kwa Ujerumani usiku huu na kuvunja rekodi ya kupachika mabao. Klose wakati akifunga bao lake la 16 katika michuano ya kombe la dunia.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Historia ya Tanzania na nchi za GCC yawa chachu ya uwekezaji nchini

01

Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akizungumza wakati akifunga mkutano wa siku mbili wa wafanyabishara kutoka Tanzania na nchi za GCC ambao ulioanza Januari 15 hadi 16 mwaka huu jana jijini Dar es Salaam.

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Serikali ya Tanzania itaendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na kuendeleza ushirikiano na mahusiano mzuri uliopo kati yake na nchi zinazounda umoja wa nchi za Ghuba (GCC).

Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es salaam na Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima...

 

10 years ago

Michuzi

JK MGENI RASMI UZINDUZI WA KITABU CHA HISTORIA YA NCHI “PHOTOGRAPHIC BOOK”

Mchapishaji wa Kitabu kipya chenye historia ya nchi tangu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964,Javed Jafferji (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Uzinduzi wa Kitabu hicho   April 24 mwaka huu katika Hoteli ya Serena  jijini Dar es Salaam,Mhariri Mkuu wa Kitabu Simai Mohammed. Mhariri Mkuu wa Kitabu kipya chenye historia ya nchi tangu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, Simai Mohammed  akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Uzinduzi wa Kitabu hicho April...

 

10 years ago

Bongo5

Napenda mwanaume anayeweza kuzungumza lugha nyingi na anayeijua historia za nchi mbalimbali — Rihanna

Ukitaka kuwa boyfriend wa Rihanna sharti ujipange! Hii ni kwasababu mrembo huyo anataka kuwa na mwanaume anayejua vitu vingi sio ‘msingi kiuno’ kama wanaume wengi wa kibongo wanavyoamini! “Navutia na wanaume wanaojua tamaduni. Hiyo itanifanya kushangazwa muda mwingi,” Rihanna ameliambia jarida la T. “Sio lazima wawe na shahada yoyote, lakini wanatakiwa kuzungumza lugha zingine au […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani