Napenda mwanaume anayeweza kuzungumza lugha nyingi na anayeijua historia za nchi mbalimbali — Rihanna
Ukitaka kuwa boyfriend wa Rihanna sharti ujipange! Hii ni kwasababu mrembo huyo anataka kuwa na mwanaume anayejua vitu vingi sio ‘msingi kiuno’ kama wanaume wengi wa kibongo wanavyoamini! “Navutia na wanaume wanaojua tamaduni. Hiyo itanifanya kushangazwa muda mwingi,” Rihanna ameliambia jarida la T. “Sio lazima wawe na shahada yoyote, lakini wanatakiwa kuzungumza lugha zingine au […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Hakuna Mwanaume Rijali Anayeweza kuwa na Mwanamke Mmoja tu

"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta wewe...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPLKIPINDI CHA ME & YOU WITH LOVE: AMANDA-NAPENDA MWANAUME ANIBUSU SHINGONI (PART- I)
10 years ago
GPL07 Feb
11 years ago
Bongo510 Aug
Rihanna awadiss Drake na Chris Brown, asema Eminem ndiye mwanaume wa kweli
10 years ago
Mtanzania27 Aug
Lowassa kuzungumza na wanawake nchi nzima
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Waziri wa zamani, Edward Lowassa, leo anatarajiwa kuzungumza na wanawake wa makundi mbalimbali nchini katika kongamano lililoandaliwa na Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha).
Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee, aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuwa Lowassa atazungumza na wanawake hao kupitia televisheni mbalimbali zitakazorusha tukio hilo moja kwa moja.
Alisema katika mkutano huo mgombea...
5 years ago
Michuzi
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMDA) ILIVYOWEKA HISTORIA YA KUREKODI KIASI CHA MVUA NYINGI TANGU MWAKA 1970
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mwaka 2019 umeweka rekodi na kushika nafasi ya nne kwa kuwa na kiasi cha mvua nyingi tangu mwaka 1970
Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi ameyasema hayo mbele ya waandishi wa habari alipokuwa akitoa uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya hewa wakati wa kikao cha Bodi ya TMA kilichofanyika katika ofisi za Makao Makuu ya TMA Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Akizindua ripoti hiyo, Dkt. Kijazi ...
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Lugha mama, Unesco, maendeleo ya watu na nchi
10 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE ATAKA NCHI ZILIZONYUMA KIMAENDELEO KUZUNGUMZA KWA KAULI MOJA

Na Mwandishi Maalum, New York WAKATI kila Nchi mwanachama wa Umoja wa...