Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMANDA,"NAPENDA MWANAUME ANIBUSU SHINGONI"

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIPINDI CHA ME & YOU WITH LOVE: AMANDA-NAPENDA MWANAUME ANIBUSU SHINGONI (PART- I)

Mtangazaji wa Kipindi cha Me & You Love, Shorvieny Mohamed (kushoto) kupitia Global TV Online akiwa katika pozi na mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh 'Amanda' kabla ya kuanza mahojiano. Tamrina Posh 'Amanda'…

 

9 years ago

Bongo5

Napenda mwanaume anayeweza kuzungumza lugha nyingi na anayeijua historia za nchi mbalimbali — Rihanna

Ukitaka kuwa boyfriend wa Rihanna sharti ujipange! Hii ni kwasababu mrembo huyo anataka kuwa na mwanaume anayejua vitu vingi sio ‘msingi kiuno’ kama wanaume wengi wa kibongo wanavyoamini! “Navutia na wanaume wanaojua tamaduni. Hiyo itanifanya kushangazwa muda mwingi,” Rihanna ameliambia jarida la T. “Sio lazima wawe na shahada yoyote, lakini wanatakiwa kuzungumza lugha zingine au […]

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda maji shingoni

>Watu wa kada mbalimbali wameupongeza uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa mawaziri wanne waliotajwa kushindwa kusimamia vizuri utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili, huku wakimtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda naye kufuata nyayo hizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM maji shingoni

DALILI za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa katika hoja mbalimbali ikiwemo ya uundaji wa serikali tatu na kura za siri katika maamuzi kwenye Bunge la Katiba zimeanza kunukia. Kutokana na...

 

5 years ago

Michuzi

Bora useme usaidiwe kuliko kufa na tai shingoni

Na Paul R.K Mashauri

Mara nyingi unapopitia tatizo kubwa katika maisha mfano kupoteza mtu au watu unaowapenda iwe ni mtoto, mume au mke sio jambo ambalo utasahau ndani ya mwaka mmoja. Kuna ambao walipoteza familia zao wakati wa mauaji ya wayahudi yaliyofanywa na Adolf Hitler kule Ujerumani zaidi ya miaka 80 iliyopita lakini mpaka leo vizazi na vizazi havijasahau. Kuna waliopoteza familia zao wakati wa mauaji ya halaiki ya Rwanda "Rwanda Genocide" zaidi ya miaka 20 iliyopita lakini mpaka leo...

 

10 years ago

GPL

MRISHO MPOTO: AZALIWA NA MAAJABU SHINGONI, ATAKIWA KUFUKIWA

MPENZI msomaji, baada ya wiki iliyopita kumalizika kwa simulizi tamu yenye kukufunza mambo mengi ya kiroho kutoka kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lenye makao yake makuu Ubungo-Kibangu jijini Dar, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’, wiki hii tunawaletea simulizi nyingine mpya. Simulizi hii inamhusu mwandishi wa vitabu vya mashairi na hadithi zenye mafunzo, msanii wa ngoma za asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto...

 

9 years ago

Mwananchi

Mke aua mume kwa kumchoma kisu shingoni

Mwanamke wa Kijiji cha Nyamatoke wilayani Serengeti, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kumuua mume wake kutokana na wivu wa mapenzi.

 

9 years ago

Mtanzania

Kim: Napenda mwanangu aitweEaston

kimNEW YORK, MAREKANI

MKE wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, Kim Kardashian, amesema anapenda mtoto wake aje aitwe Easton tofauti na jina lingine.

Mtoto wake wa kwanza amepewa jina la North huku baba yake akiitwa West, hivyo watu wengi wakijiuliza jina la
mtoto ajaye ataitwa nani kati ya East au South, lakini mam huyo amesema angependa mtoto huyo aitwe Easton.

“Ningependa mtoto huyo aje aitwe Easton, lakini sina uhakika kama mume wangu atakubaliana na mimi.

“Sina uhakika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani