Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bora useme usaidiwe kuliko kufa na tai shingoni

Na Paul R.K Mashauri

Mara nyingi unapopitia tatizo kubwa katika maisha mfano kupoteza mtu au watu unaowapenda iwe ni mtoto, mume au mke sio jambo ambalo utasahau ndani ya mwaka mmoja. Kuna ambao walipoteza familia zao wakati wa mauaji ya wayahudi yaliyofanywa na Adolf Hitler kule Ujerumani zaidi ya miaka 80 iliyopita lakini mpaka leo vizazi na vizazi havijasahau. Kuna waliopoteza familia zao wakati wa mauaji ya halaiki ya Rwanda "Rwanda Genocide" zaidi ya miaka 20 iliyopita lakini mpaka leo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Sugu Kushinda Kesi,Faiza Asema Bora Kufa Kuliko Kumuona Sasha Akilelewa na Mama Mwingine

Baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’ kushinda kesi mahakamani ya kutaka apewe amlee mtoto wake aitwaye Sasha,aliyekuwa mzazi mwanzake,Faiza Ally amefunguka kuwa ni bora kufa kuliko kumuona mtoto wake akilelewa na mama mwingine wakati yeye yupo hai.

Sugu alimfikisha mahamakani mzazi mwenziye kwa madai kuwa ameshindwa kumlea mtoto wao kwa kuwa mama huyo si mwadilifu.

Faiza ameandika hivi kupitia Akaunti ya...

 

9 years ago

GPL

JB: BORA UIGIZAJI KULIKO UBUNGE

Mkurugenzi wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’. Erick evarist MKURUGENZI wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’ ameweka wazi kuwa kamwe hafikirii kuwa mwanasiasa kwani sanaa inamlipa zaidi.Akizungumza na mwanahabari wetu katika mahojiano mafupi, JB alisema kipindi cha nyuma ziliibuka tetesi kuwa huenda anaweza kuwa mwanasiasa lakini ukweli kutoka moyoni, sanaa inamlipa. “Sanaa inanilipa, sifikirii kama...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga: Mtibwa bora kuliko Simba

YANGA imesema kuwa Mtibwa Sugar ni bora zaidi ya Simba pamoja na ukongwe wa timu hiyo yenye maskani yake katika Barabara ya Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Jumamosi iliyopita, Simba ilipokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa watani zao, Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Pellegrini: City ni bora kuliko Man U

Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini amesema kuwa timu yake ni bora kuiliko Manchester United na kwamba itatamba katika CL.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather:Mimi ni bora kuliko Moh'd Ali

Floyd Mayweather amesisitiza kuwa yeye ndio bondia bora zaidi kuliko Mohammed Ali.

 

10 years ago

GPL

BORA USIWE HEWANI KULIKO KUTOPOKEA SIMU!

NIJumanne tena! Kweli siku hazigandi kwani mara nimalizapo kuandika safu hii, kufumba na kufumbua siku ya kuandika tena inafika!Baada ya wiki iliyopita kumalizana na mada ya Mke Kumchuna Mume Ipo Sana! Leo nashuka na mada nyingine. Hii ni kwa wapenzi, wachumba au wanandoa. Kila mtu anajua maisha ya sasa kuhusu mawasiliano ni simu za mikononi. Simu hizi zimekuwa mwiba katika baadhi ya uhusiano kutokana na baadhi yao kuzitumia kwa...

 

10 years ago

GPL

BORA USIWE HEWANI KULIKO KUTOPOKEA SIMU-2

NI Jumanne nyingine tena ambapo safu hii ya Mapenzi na Maisha inakupa elimu, inakosoa na kurekebisha namna ya kuishi kwa watu waliopo ndani ya uhusiano. Mada hii inaendelea kutokea wiki iliyopita ambapo niliishia pale niliposema kuwa, nilibaini ugomvi wa kutopokea simu wakati inapatikana hewani unatokana na tabia ya mmiliki wa simu.  Nilisema baadhi ya watu wanajulikana kuwa, hawakai mbali na simu hata kwa dakika mbili, sasa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Walcott:sisi bora kuliko kina Henry

Winga klabu ya Arsenal Theo Walcott,ameeleza safu yao ushambuliaji ya sasa ni bora Zaidi kuliko ya mwaka 2006.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bora filamu kuliko habari nchini Congo

Nchini jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo,idadi ya wanao sikiliza na kufuatilia taarifa za habari na kusoma magazeti inapungua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani