Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kim: Napenda mwanangu aitweEaston

kimNEW YORK, MAREKANI

MKE wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, Kim Kardashian, amesema anapenda mtoto wake aje aitwe Easton tofauti na jina lingine.

Mtoto wake wa kwanza amepewa jina la North huku baba yake akiitwa West, hivyo watu wengi wakijiuliza jina la
mtoto ajaye ataitwa nani kati ya East au South, lakini mam huyo amesema angependa mtoto huyo aitwe Easton.

“Ningependa mtoto huyo aje aitwe Easton, lakini sina uhakika kama mume wangu atakubaliana na mimi.

“Sina uhakika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kim Jong-un: Ni nani anayeweza kuiongoza Korea Kaskazini bila Kim?

Dada wa ajabu na mpelelezi mkuu ni washindani , huku tetesi zikishamiri juu ya afya ya Kim Jong-un.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kim Yo-jong: Mwanamke mwenye uwezo mkubwa anayeonekana kuwa mrithi wa Kim Jong-un Korea Kaskazini

Uhusiano wa karibu na nduguye na majukumu yake makubwa katika ngazi za kisiasa yamemfanya kuangaziwa tena mwezi Aprili 2020 katika kipindi ambapo Kim Jong un alitoweka katika hafla za umma

 

9 years ago

Mtanzania

Rose Ndauka: Napenda mwanamume mchapakazi

rosendauNA RHOBI CHACHA

MSANII wa Filamu za kibongo, Rose Ndauka, ameibuka na kudai kwamba yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza.

“Mimi napenda mwanamume anayejielewa, mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea lakini si mwanamke ninayependa pesa kuliko utu na mapenzi ya kweli,’’ alijinadi Rose na kuongeza:

“Unajua pesa sio kikwazo katika maisha yangu, kwa sababu najua kuitafuta hivyo siwezi kubweteka kwa kutaka mwanamume...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Napenda kusaidia jamii kuliko starehe’

>Mwanamuziki maarufu nchini, Naseeb Abdul, ‘Diamond’, amesema anapenda kusaidia jamii kuliko kustarehe.

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu: Napenda Kuangalia ‘Utumbo’ Wangu Kama Huu

Nime Mute hii Video kwa Sababu Maalum Mara nyingi Huwa napenda kuangalia utumbo wangu Kama huu nikiona kuna watu wanajifanya wamevurugwaaa unavurugwa Leo 2015 kweli!?

Watu tulishakuwa machizi yani mpk milembe tuna Gate pass ya bure, sema inafika pahala unajitambua na unaona hakuna faida ya kubaki ulipowahi kuwa...sasa mnavyojifanya mmevurugwa sio kama hatuwaoni...tunawaona sana sema tunaamua kuwa wajinga coz tumeshatoka huko mlipo..!
Between....huyo hairstyle lazima ni ya mchepuko wa Baba...

 

10 years ago

Bongo Movies

Life Style:Napenda Kuchezea Kichwa Changu-Wolper

Hakuna anaeweza kupinga kuwa mrembo na moja kati ya waigizaji pendwa wa kike hapa bongo, Jackline Masawe “Wolper”ni miongoni mwamastaa wa kike wachache ambao wanapenda kubadilisha mitindo ya nywele zao mara kwa mara.

Kwa wanaomfuatilia mitandaoni watakubali kuwa haiwezi ikapita wiki bila mwanadada huyu kuonekana na “style” mpya ya nywele.

Hatimaye leo akiwa katika mtindo mpya (picha hapo juu) wa nywele, wolper alifunguka na kusema kuwa yeye anapenda kuchezea kichwa chake na kuwaonya watu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwakwenda: Napenda ubunge wa enzi za Nyerere, siyo wa marupurupu

Miaka 30 iliyopita, kazi ya ubunge ilikuwa ya kujitolea na haikuwa na mvuto kwa watu wengi. Lakini sasa ni balaa. Inavuta watu wa aina mbalimbali wakiwamo maskini, wenye pesa, wanawake, wanaume, maprofesa na hata wa elimu ya chini kabisa ya msingi ili mradi wanajua kusoma na kuandika.

 

10 years ago

Bongo Movies

Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki

Mwigizaji wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema japo kuwa anafanya sanaa ya uigizaji ila anapenda sana kuwa mwanamuziki.

Nisha aliyasema hayo hivi majuzi alipokuwa kwenye studio za THT pamoja na mastaa wengine wakirekoni wimbo maalumu wa maombolezo ya msiba wa marehemu Captain John Komba.

Kila la kheri Nisha kama kweli unakipaji,...nitafurahi kama ukija kivingine, uwe tofauti na kina shilole na H mama.

Mzee wa Ubuyu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani