Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwakwenda: Napenda ubunge wa enzi za Nyerere, siyo wa marupurupu

Miaka 30 iliyopita, kazi ya ubunge ilikuwa ya kujitolea na haikuwa na mvuto kwa watu wengi. Lakini sasa ni balaa. Inavuta watu wa aina mbalimbali wakiwamo maskini, wenye pesa, wanawake, wanaume, maprofesa na hata wa elimu ya chini kabisa ya msingi ili mradi wanajua kusoma na kuandika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Natamani zirejee zama za Usalama wa Taifa enzi za Nyerere

Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeanza kukumbwa na matukio ambayo ni mapya na ya aina yake ya uhalifu kiasi kwamba tunajiuliza uko wapi usalama wa taifa wa enzi zile za utawala wa Rais Julius Nyerere?

 

10 years ago

Raia Tanzania

Chuo cha Mwalimu Nyerere charudi katika enzi zake

RAIS  wa kwanza wa Tanzania, Julius Nyerere alijipambanua kwa kuchukia mafisadi na watumishi wavivu. Maisha yake yote alilisimamia hilo na alipopata wasaa alikemea.

Ndio maana katika harakati za kupatikana uhuru wa Tanganyika, alibuni wazo la kuwa na chuo kitakachowafunza viongozi maadili ya umma na namna bora ya kutoa huduma, chuo hicho kilianza na makada wa chama cha Tanganyika National Union (TANU).

Baada ya uhuru viongozi wote walipoteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali walipitia...

 

9 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Rais Dkt. Magufuli amerudisha enzi za hayati Karume na Nyerere – Mzee Kundiheri

Untitled

Majaaliwa ya Zanzibar yako mikononi mwa Rais Magufuli Namwomba anitafutie Zanzibar ilikojichimbia naimani huyu ataniletea Zanzibar mpya huyu hyuu aliibusu picha kwa furaha Mzee Kundi Kheri. Tazama video hii hapa chini.

 

10 years ago

Mwananchi

Zanzibar wamuenzi Nyerere kwa vitendo, siyo porojo

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ametimiza miaka miaka 15 tangu kufariki dunia Oktoba 14, mwaka 1999.

 

9 years ago

Global Publishers

Kumbe Aliens wamekuwepo enzi na enzi!

AliensILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Mpenzi msomaji wangu wiki iliyopita tuliona ni kwa jinsi gani hawa viumbe wa ajabu waishio angani wa Aliens walivyo na tabia zinazoaminika ni za majini japokuwa wana utofauti kidogo. Tuliona kuwa tofauti kubwa iliyopo kati ya Aliens na majini ni kwamba majini wana maumbile maalum na uwezo wa kujibadilisha japo wote wana uwezo wa kusafiri kwa kasi ya upepo. SASA ENDELEA…

Kama nilivyoeleza awali katika matoleo ya simulizi hii huko nyuma, kuna filamu na tamthiliya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ugiriki : Hatutaki Marupurupu yetu

Huku mataifa ya Afrika yakikabiliwa na migomo kwa ajili ya marupurupu Ugiriki imekataa kupokea marupurupu yao

 

10 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Atikisa Ubunge Kinondoni

MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amekuwa kivutio kikubwa kati ya wagombea waliotangaza nia kugombea Jimbo la Kinondoni, msanii mahiri katika uchekeshaji na uigizaji wa sauti mbalimbali za watu maarufu Ulimwenguni ametangaza nia kugombea Jimbo hilo.

Steve akiwa na baadhi ya wasanii wenzake kutoka Bongo Movie waliingia ofisi za CCM Mkwajuni Wilaya ya Kinondoni na kupokelewa na kundi la wanahabari tofauti na wagombea wengine walioingia katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani