Pinda maji shingoni
>Watu wa kada mbalimbali wameupongeza uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa mawaziri wanne waliotajwa kushindwa kusimamia vizuri utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili, huku wakimtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda naye kufuata nyayo hizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
CCM maji shingoni
DALILI za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa katika hoja mbalimbali ikiwemo ya uundaji wa serikali tatu na kura za siri katika maamuzi kwenye Bunge la Katiba zimeanza kunukia. Kutokana na...
11 years ago
Michuzi.jpg)
PINDA AFUNGA WIKI YA MAJI
.jpg)
.jpg)
.jpg)
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)
Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]
The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Pinda aweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Bunda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Bunda katika kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ,Machi 20, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji. . Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na kushoto ni Mbunge wa Mwibara, Kange Lugora. Wapili kulia ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasirra. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua eneo la chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Bunda katika katika...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA BUNDA
5 years ago
Michuzi
Bora useme usaidiwe kuliko kufa na tai shingoni

Mara nyingi unapopitia tatizo kubwa katika maisha mfano kupoteza mtu au watu unaowapenda iwe ni mtoto, mume au mke sio jambo ambalo utasahau ndani ya mwaka mmoja. Kuna ambao walipoteza familia zao wakati wa mauaji ya wayahudi yaliyofanywa na Adolf Hitler kule Ujerumani zaidi ya miaka 80 iliyopita lakini mpaka leo vizazi na vizazi havijasahau. Kuna waliopoteza familia zao wakati wa mauaji ya halaiki ya Rwanda "Rwanda Genocide" zaidi ya miaka 20 iliyopita lakini mpaka leo...