Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu wa Bunge Dk. Kashililah katika ziara ya kikazi nchini Uingereza

Katibu wa Bunge Dr Thomas Kashililah ambae pia ni Katibu Mkuu wa CPA Barani Afrika akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa CPA duniani,Dr William Shija wakati alipotembelea Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo London.Kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa chama hicho Bw.Joe Omorodin na kulia ni Mkuu wa Itifaki katika ofisi ya Bunge,Bw.Demetrius Mgalami. Katibu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola tawi la Uingereza,Bw.Andrew Tuggey akitoa ufafanuzi wa namna tawi hilo linavyojiendesha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Katibu wa Bunge Dr Kashililah katika ziara ya kikazi Uingereza

 Katibu wa Bunge Dr Thomas Kashililah ambae pia ni Katibu Mkuu wa CPA  Barani Afrika akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa CPA duniani,Dr William Shija wakati alipotembelea Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo London.Kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa chama hicho Bw.Joe Omorodin na kulia ni Mkuu wa Itifaki katika ofisi ya Bunge,Bw.Demetrius Mgalami. Katibu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola tawi la Uingereza,Bw.Andrew Tuggey akitoa ufafanuzi wa namna tawi hilo linavyojiendesha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa Shirika la kimataifa la usafiri wa anga (ICAO) Bw. Raymond Benjamin awasili nchini kwa ziara ya 5 kikazi

000

Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe  akiongozana na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin  baada ya kuwasilia  katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ziara ya kikazi nchini kuanzia leo tarehe 14n hadi  18 Mei 2014. Tanzania ni moja ya nchi mbili ikiwemo Ethiopia atakazotembelea katika Kanda ya ICAO .

o1

Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe  akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO) BW,RAYMOND BENJAMIN AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiongozana na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin baada ya kuwasilia katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ziara ya kikazi nchini kuanzia leo tarehe 14n hadi 18 Mei 2014. Tanzania ni moja ya nchi mbili ikiwemo Ethiopia atakazotembelea katika Kanda ya ICAO . Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe watatu kutoka (kushoto) akiwa na wakurugenzi wa Wakuu wa Mamlaka...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah atembelea ubalozi wetu Malaysia

 Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akiongea na na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima pamoja na maafisa wa Ubalozi walipotembelea Ubalozi wa Tanzania Jumatatu tarehe 02 March 2015.Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah pamoja na Maafisa wa Bunge akiwa katika picha ya na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima pamoja na maafisa wa Ubalozi walipotembelea Ubalozi wa TanzaniaJumatatu tarehe 02 March 2015.

 

11 years ago

Michuzi

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro afanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro mwenye makazi yake Mjini Maputo, Msumbiji, Kanali Mahamud Lwimbo, alifanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro ambapo alikutana na Viongozi Wandamizi wa Visiwa hivyo wakiwemo Mhe. Ahmada Mmadi Bolero, Waziri anayehusika na Masuala ya Ulinzi na Kanali Youssouf Idjihadi Mkuu wa Jeshi la Comoro. Alipokutana na Viongozi hawa wa Comoro, Kanali Lwimbo alipata fursa ya kuzungumzia kwa kina umuhimu na...

 

5 years ago

Michuzi

MASENETA SITA KUTOKA NCHINI UFARANSA WAPO NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU NANE



Na Karama Kenyunko-Michuzi Blog.

MASENETA sita kutoka nchini Ufaransa wako nchini Tanzania kwa ziara za kikazi ambapo wanatarajia kutembelea mikoa mbalimbali pamoja na visiwani Zanzibar kujionea shughuli za maendeleo zinazofanywa na wadau wanaonufaika na misaada ya Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD).


Ziara hiyo itafanyika kwenye Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha na kwamba ni matokeo ya ziara iliyofanywa Septemba mwaka jana na marafiki wa Ufaransa na Tanzania na kuazimia...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi ahitimisha Ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua mradi wa bomba la gesi aasilia

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO  Serikali imesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirishia gesi asilia kutoka Mtwara hadi Dar es salaam unaenda vizuri kulingana na ratiba yake na utakamilika kwa wakati.  Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea kituo cha kufua umeme kwa kutumia gesi asilia kinachojengwa Kinyerezi wakati akihitimisha ziara yake ya siku mbili ya kukagua mradi wa ujenzi wa bomba la gesi jijini Dar es salaam.  Balozi Sefue alisema...

 

11 years ago

Michuzi

JK KATIKA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani