Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah atembelea ubalozi wetu Malaysia
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akiongea na na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima pamoja na maafisa wa Ubalozi walipotembelea Ubalozi wa Tanzania Jumatatu tarehe 02 March 2015.Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah pamoja na Maafisa wa Bunge akiwa katika picha ya na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima pamoja na maafisa wa Ubalozi walipotembelea Ubalozi wa TanzaniaJumatatu tarehe 02 March 2015.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziDR. THOMAS KASHILILAH ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA ZAMBIA
Katibu Wa Bunge La Tanzania Dr. Thomas Kashililah Alikuja Kuhudhuria Mkutano Wa Chama Cha Bunge La Jumuiya Ya Madola Uliojulikana "Programme For The 3rd Commonwealth Parliamentary Association (Cpa) Africa Region Youth Parliament" Uliofanyika Mjini Lusaka Tarehe 24 Hadi 28 Agosti 2014. Katika Safari Hiyo Ya Kikazi Aliongoza Ujumbe Wa Watanzania 10 Ambao Walihudhuria Mkutano Huo. Aidha Katibu Wa Bunge Alipata Fursa Ya Kuutembelea Ubalozi Wa Tanzania Lusaka Na Kuonana Na Mhe. Balozi Grace Joan...
11 years ago
Michuzi13 Mar
11 years ago
MichuziKatibu wa Bunge Dr Kashililah katika ziara ya kikazi Uingereza
Katibu wa Bunge Dr Thomas Kashililah ambae pia ni Katibu Mkuu wa CPA Barani Afrika akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa CPA duniani,Dr William Shija wakati alipotembelea Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo London.Kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa chama hicho Bw.Joe Omorodin na kulia ni Mkuu wa Itifaki katika ofisi ya Bunge,Bw.Demetrius Mgalami. Katibu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola tawi la Uingereza,Bw.Andrew Tuggey akitoa ufafanuzi wa namna tawi hilo linavyojiendesha...
11 years ago
MichuziKatibu wa Bunge Dk. Kashililah katika ziara ya kikazi nchini Uingereza
Katibu wa Bunge Dr Thomas Kashililah ambae pia ni Katibu Mkuu wa CPA Barani Afrika akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa CPA duniani,Dr William Shija wakati alipotembelea Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo London.Kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa chama hicho Bw.Joe Omorodin na kulia ni Mkuu wa Itifaki katika ofisi ya Bunge,Bw.Demetrius Mgalami. Katibu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola tawi la Uingereza,Bw.Andrew Tuggey akitoa ufafanuzi wa namna tawi hilo linavyojiendesha...
10 years ago
Michuzi13 Nov
makamu mwenyekiti wa UVCCM Mboni Mhita atembelea ubalozi wetu marekani
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Umaaja wa Vijana wa CCM Mhe.Mboni Mhita (kulia) na Bi. Loveness Mamuya kabla (juu) na baada (chini) ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni ubalozini Washington DC
11 years ago
IPPmedia17 Feb
Clerk of the National Assembly, Thomas Kashililah,
IPPmedia
Clerk of the National Assembly, Thomas Kashililah,
IPPmedia
The clerk of the National Assembly, Thomas Kashililah, has said members of Constituent Assembly will be given an allowance of 300,000/- per day and not 700,000/- as earlier rumoured. The assembly is scheduled to start tomorrow, but will be officially ...
11 years ago
MichuziKamati ya ya Bunge ya Hesabu za Serikali walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia
Waheshimiwa Wabunge Kamati ya Hesabu za Serikali walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wakiwa na Balozi Dr. Aziz P. Mlima na Maafisa wa Ubalozi leo. Waheshimiwa wapo Malaysia kwa shughuli za kikazi na mafunzo, wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa PAC ambaye pia ni Mbuneg wa Ludewa Mhe Deo H. Filikunjombe
11 years ago
MichuziNaibu Spika wa Bunge na Ujumbe wake watembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania,Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiwa ameambatana na waheshimiwa Wabunge Saleh Ahmed Pamba, (Pangani),Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima (wa tatu kulia) pamoja na maafisa wa Ubalozi huo wakati walipotembelea Ubalozini hapo wakiwa kwenye ziara ya kikazi nchini Malaysia.
11 years ago
MichuziUbalozi wa Tanzania Malaysia wakutana na wafanyabiashara wa Malaysia (MEXPA)
Ubalozi wa Tanzania leo hii ulikutana na kufanya Manzungumzo ya pamoja kuangalia fursa za Kiuchumi zilizipo Tanzania na na kikundi na uongozi wa Malaysian Exporters Association.(MEXPA)
Kwenye picha ya pamoja baada ya mazungumzo hayo kutoka kushoto ni: Mr. Rogathian Shao, Naibu Mkurugenzi na Balozi Mdogo, Dr. S. P.Dhanabalan Makamu wa Rais wa Kuala Lumpur & Selangor Indian Chamber of Commerce and Industry, Ms. Puan severan Dhalliwal- Makamu wa Rais wa MEXPA, Mr. Abdul Kabur Ibrahim-Rais...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania