Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


makamu mwenyekiti wa UVCCM Mboni Mhita atembelea ubalozi wetu marekani

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Umaaja wa Vijana wa CCM  Mhe.Mboni Mhita (kulia)  na Bi. Loveness Mamuya  kabla (juu) na baada (chini) ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni ubalozini Washington DC

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU MWENYEKITI UVCCM MBONI MHITA KUKUTANA NA WANACHAMA WA CCM KESHO JUMAMOSI DMV


Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi La Washington DC Virginia na Maryland Bi Salima Moshi akiwa na  Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Mjumbe wa NEC CCM Taifa Chairperson for young Leader in Africa Mh Mboni Mhita siku ya Jumapili Novemba 9, 2014 walipokutana jijini Washington, DC kwa mazungumuzo, Mh Mboni Mhita atakutana na Wanachama Wa Chama Cha Mapinduzi siku ya JumamosiNov 15 saa 11jioni address 1801 saint george way Bowie 20721 tunaomba wote kuhudhuria
Mh Paul Makonda Katibu Hamasa na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU MWENYEKITI UVCCM MBONI MHITA ATINGA WASHINGTON, DC, KUKUTANA NA WANACHAMA WA CCM JUMAMOSI DMV

Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi La Washington DC Virginia na Maryland Bi Salima Moshi akiwa na  Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Mjumbe wa NEC CCM Taifa Chairperson for young Leader in Africa Mh Mboni Mhita siku ya Jumapili Novemba 9, 2014 walipokutana jijini Washington, DC kwa mazungumuzo, Mh Mboni Mhita atakutana na Wanachama Wa Chama Cha Mapinduzi siku ya JumamosiNov 15 saa 11jioni address 1801 saint george way Bowie 20721 tunaomba wote kuhudhuria

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe.Balozi Liberata Mulamula akutana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa Mhe.Mboni Mohamed Mhita Ubalozini Tanzania House Wsshington DC

Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Mhe.Mboni Mhita (juu) na chini Mhe.Balozi Libearata Mulamula (katikati) katika picha ya kumbukumbu na Mhe.Mboni Mhita Kulia na Bibi Loveness Mamuya kushoto baada ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni.

 

10 years ago

Michuzi

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah atembelea ubalozi wetu Malaysia

 Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akiongea na na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima pamoja na maafisa wa Ubalozi walipotembelea Ubalozi wa Tanzania Jumatatu tarehe 02 March 2015.Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah pamoja na Maafisa wa Bunge akiwa katika picha ya na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima pamoja na maafisa wa Ubalozi walipotembelea Ubalozi wa TanzaniaJumatatu tarehe 02 March 2015.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE NA MWANA FA WATEMBELEA UBALOZI WETU MAREKANI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na mwanamuziki mkongwe wa Bongo Flava, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA wakati mwanamuziki huyo alipokutana na Waziri huyo jijini Washington DC katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Waziri Chikawe yupo nchini humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Kupambana na Vurugu na Ugaidi duniani, na kwa upande wa Mwana FA yupo nchini Marekani kwa ajili ya matembezi yake binafsi hata hivyo alienda ubalozini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mboni Mhita afunguka, apongezwa kila kona

10678862_10204010849324662_7080527275303329392_n

Mboni Mhita.

Na Andrew Chale wa  modewji blog

Mteule wa Rais kwa nafasi ya ukuu wa Wilaya, iliyotangazwa juzi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,  mwanadada mtetezi wa wanyonge, vijana na watu mbalimbaali ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa UVCCM – Taifa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Mboni Mhita ametoa kauli kwa mara ya  kwanza huku akimshukuru Mungu  kwa hatua aliyofikia.

Siku moja kabla, Mtandao huu ulikuwa ukutane na Mboni Mhita juu ya kufanya naye mahojiano maalum hata hivyo,...

 

11 years ago

GPL

MBONI MHITA ATINGA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LTD

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mboni Mhita akfafanua jambo kwa wanahabari wa Global (hawapo pichani). Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul 'Kigogo' akimuuliza swali Mboni Mhita.…

 

11 years ago

GPL

MBONI MHITA: SUGU ALIKUJA CCM, AKATAKA UBUNGE TUKAKATAA!

KATIKA kujitanua na kuwafikia wananchi wengi kwa wakati mmoja, vyama mbalimbali vya siasa nchini, vimekuwa na mgawanyo wa jumuiya zenye lengo la kugawa makundi mbalimbali kwenye jamii. Makamu Mwenyekiti wa UVCCM – Taifa, Mboni Mhita akijiandaaa kujibu hoja za waandishi wa habari katika ofisi za Global Publishers, sinza Bamaga. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina jumuiya tatu ambazo ni; Jumuiya ya Wazazi, Jumuiya ya Wanawake...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AKUTANA NA VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO WALIOPIGWA MABOMU JANA

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM Taifa Mh Mboni Mhita Ambaye Pia ni Katibu Mkuu wa Pan African Union Ulio Chini ya Umoja wa Afrika AU Anayehusika Kushugulikia Ajira kwa Vijana, Fursa ,Elimu Afya na Mambo yanayuwahusu Vijana Akiwasikiliza Kwa Makini Viongozi wa Mtandao wa wafanyabiashara Ndogondogo Kutoka Mkoani Dar Es salaam Aliokutana nao Leo Kusikiliza Changamoto zinazowakabili Vijana hasa Wafanyabiashara Ndogondogo Maarufu Kama wamachinga walioipigwa Mabomu ya Mcahozi jana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani