Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIKA MAJIMBO 28 HAWA NDIO WALIOPITISHWA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM


KURA ZA MAONI CCM
1. Mwigulu - Iramba2. Nape - Mtama3. Mwakasaka - Tabora Mjini4. Mama Sitta - Urambo5. Kadutu - Ulyankulu6. Bashe - Nzega7. Ngeleja - Sengerema8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya.9. Masaburi - Ubungo10. Patel - Ukonga11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi12. Kagasheki - 13. Lukuvi - Isimani14. January - Bumbuli
15. Muhongo - Musoma vijijini16. Ndugai - Kongwa17. Chumi - Mafinga18. Kigola - Mufindi kusini19. Mgimwa - Mufindi kaskazini20. Filikunjombe - Ludewa21. Mgimwa - Kalenga...22....

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Waliopitishwa kuwania udiwani CCM majimbo ya Dar hawa hapa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetoa majina ya wagombea udiwani katika kata zote za majimbo 10 ya uchaguzi.

 

10 years ago

Vijimambo

HAWA NDIO WASANII WATAKAOGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA


Hii tabia ya CHADEMA kutumia wasanii wa bongo fleva & movie kisiasa ni upunguani wa hali ya juu sana.Iweje leo hii kisa tu chama kinataka ruzuku ya kutosha kione ni vyema na sawa kuokota tu vijana wasio kuwa na maadili kutoka kwenye tasnia za muziki na movie na kuwanadi ili wawakilishe wananchi bungeni!? Huu ni wehu na kukosa kufikiri!
CHADEMA wamezindua mpango uitwao "Kujaa bungeni kivyovyote" na haya ya kujaza wasanii ndio mkakati wa kufanikisha mpango huo!
Kwa taarifa sahihi kutoka CHADEMA...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AWAONGOZA WALIOPITISHWA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI JIMBO LA MAHONDA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA HUU KUWASHUKURU WANA CCM

Mgombea Nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Jimbo la Mahonda kwa tiketi ya CCM Balozi Seif Ali Iddi kwa niaba ya wagombea wenzake wa nafasi mbali mbali akiwashukuru wanachama wa CCM wa Matawi yaliyomo ndani ya Jimbo hilo katika Mikutano tofauti kwa kuwachaguwa katika kura za Maoni zilizopita mwezi Agosti mwaka huu.Wanachama wa CCM wa Tawi la Kitope “B” wakiwa katika Mikutano ya kupongezwa baada ya kuwachagua wagombea wao wa nafasi tofauti kwenye kura za Maoni.
Baadhi ya wanachama wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN AWANADI WAGOMBEA UBUNGE WA MAJIMBO YA MKOA WA KILIMANJARO

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara.Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa kampeni ya Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi alifanya mkutano wake katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi,Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha wagombea Ubunge katika majimbo matatu ya Moshi mjini (Dais...

 

10 years ago

Michuzi

MHE.DAVID KAFULILA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE TENA KATIKA JIMBO LA KIGOMA KASINI KUPITIA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI

 Mhe Kafulila akihutubia maelfu ya wakazi wa Nguruka mara baada ya kupokea fomu ya kugombea ubunge katika jimbo lake.aliyokabidhiwa na wazee wa jimbo hilo Mhe David Kafulila ikiingia katika viwanja vya shule ya msingi Nguruka kwaajili ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa awamu ya pili jimboni kwake.  Mhe Kafulila akiwaaga wananchi wa Nguruka baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara.Baadhi ya wananchi wa Nguruka waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mhe.David Kafulila na kushuhudia...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO

  Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi [CCM] Jimbo la Dodoma Mjini  Anthon Mavunde akipokea Fomu za kugombea nafasi hiyo Toka kwa Afsa Uchaguzi Manispaa ya Dodoma Elizabert Gumbo jana mjini Humo.Picha na John Banda
  Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana. Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo. Baadhi ya wafuasi wa Chadema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani