Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kauli ya dkt slaa baada ya JK kuhutubia baraza la vya siasa

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BARAZA KUU LA CHADEMA LARIDHIA DKT SLAA KUPUMZIKA.


Hatimaye baraza kuu la Chadema limeridhia kusimama kwa muda kufanya kazi za chama aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho Dr Wilbrod Slaa.
Ni kishindo cha baraka za baraza kuu la Chadema likiridhia kupumzika kwa Dk Wilibroad Slaa ambaye tangu kujiunga kwa wazir mkuu mstaafu Edward Lowassa amekuwa haonekani katika vikao vyetu vya chama hicho, katika ufunguzi wa mkutano wa baraza kuu la Chadema mwenyekiti wa chama hicho taifa Freeman Mbowe amekiri kuwa licha ya Dkt Slaa kushiriki vikao mbalimbali...

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema: Kauli ya JK yavitia hofu vyama vya siasa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepinga kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwamba kura ya maoni ya kupitisha au kuikataa katiba inayopendekezwa itafanyika wakati wowote kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa kuwa inakiuka makubaliano kati yake na viongozi wa vyama vya siasa.

Rais Kikwete alisema juzi mjini Dodoma baada ya kukabidhiwa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyoandaliwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK), alisema kuwa kura ya maoni ya kuipitisha Katiba hiyo au kuikataa...

 

9 years ago

StarTV

  Msajili wa vyama vya siasa aombwa kuzikemea Kauli za upotoshaji

 

Umoja wa maskani za CCM Zanzibar Ujirani Mwema wamuomba msajili wa vyama vya siasa Tanzania kukemea kauli za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa zinazoashiria uvunjifu wa amani nchini.

Wanasema mara baada ya uchaguzi mkuu uliofutwa Zanzibar, baadhi ya viongozi wamekuwa na kauli za uchochezi za wazi lakini msajili hajachukua hatua yoyote kukemea kauli hizo.

 Akizungumza wakati wakitowa msimamo wao visiwani Zanzibar Mwnyekiti wa umoja huo Ali Muhammed Ali Lugha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani