Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BARAZA KUU LA CHADEMA LARIDHIA DKT SLAA KUPUMZIKA.


Hatimaye baraza kuu la Chadema limeridhia kusimama kwa muda kufanya kazi za chama aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho Dr Wilbrod Slaa.
Ni kishindo cha baraka za baraza kuu la Chadema likiridhia kupumzika kwa Dk Wilibroad Slaa ambaye tangu kujiunga kwa wazir mkuu mstaafu Edward Lowassa amekuwa haonekani katika vikao vyetu vya chama hicho, katika ufunguzi wa mkutano wa baraza kuu la Chadema mwenyekiti wa chama hicho taifa Freeman Mbowe amekiri kuwa licha ya Dkt Slaa kushiriki vikao mbalimbali...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la CHADEMA,Dkt. Slaa kusikilizwa Julai 31

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Mahakamani 
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga kusikiliza mapingamizi ya awali ya pande zote mbili katika kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Katibu Mkuu, Willbrod Slaa, Julai 31, mwaka huu.
Mheshimiwa, Jaji John Utamwa alisema kesi ilipangwa jana kwa ajili ya kutajwa na kwamba itasikilizwa mapongamizi ya awali ya pande zote mbili...

 

5 years ago

Michuzi

Baraza la Mawaziri SADC, Laridhia Usafirishaji wa Bidhaa Muhimu, Kudhibiti Maambukizi ya Covid-19



Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi Akizungumza katika Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Mambo Nje, Mambo ya Ndani, Fedha na Mipango, Viwanda na Utalii wa SADC, kuhusu mwenendo wa...

 

5 years ago

CCM Blog

BARAZA LA MAWAZIRI SADC, LARIDHIA USAFIRISHAJI WA BIDHAA MUHIMU, KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA CORONA COVID-19

  Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC), ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi Akizungumza katika Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Mambo Nje, Mambo ya Ndani, Fedha na Mipango, Viwanda na Utalii wa SADC, kuhusu mwenendo wa Covid-19 kwa Nchi za SADC uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, TanzaniaMwenyekiti wa Mkutano wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

11 years ago

Michuzi

DKT. PINDI CHANA AZINDUA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA LEO

 Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi,Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akifungua rasmi mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara mjini Dodoma leo. Mkurugenzi Idara ya Uendelezaji Sera - Utumishi ambaye pia ni Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara Bw.Mathias Kabunduguru akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi,Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh.Pindi Chana (hayupo pichani) kufungua...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT KIGODA ANASTAHILI KUPUMZIKA JIMBO LA HANDENI

NA KAMBI MBWANA, DAR ES SALAAM.
UKWELI unauma. Na ili ufahamu hilo, mara nyingi watu wanaosema ukweli huwa hawapendwi. Watazushiwa na kusemwa mno kutokana na misimamo yao ya ukweli wanayosema mbele ya hadhira.
Wakati nasema haya, najipa moyo kuwa hata kama wapo watakaochukizwa na ukweli wangu, ila ipo siku jamii itaishi vizuri kutokana na kukombolewa na harakati za ukweli zinazoweza kupingwa na wachache wao waliokuwa kwenye nafasi mbalimbali za kiutawala.
Ndio, bora niseme tu Dkt Abdallah Omary...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI ABOMOA NGOME ZA CHADEMA HANANG, MBULU NA KARATU. AMMWAGIA SIFA LUKUKI DKT. SLAA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Karatu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Bwawani,kuwa mmoja wa viongozi wa upinzani anayempenda kwa dhati, ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Wilbrod Slaa,amesema kuwa ni kiongozi imara asiyependa kuyumbshwa na kwamba ni kiongozi anayeweza kuwa na msimamo thabiti na mapenzi makubwa na nchi yake Tanzania.Umati wa Washabiki na wafuasi wa CCM waliokusanyika katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani